Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, ametoa wito kwa Rais Kagame kushughulikia Ulinzi wa Kisheria Nchini humo hasa usawa katika usikilizwaji wa Kesi akimrejelea Paul Rusesabagina, anayetumikia kifungo kwa tuhuma zinazodaiwa kuwa zenye msukumo wa kisiasa
Paul Rusesabagina...
Ripoti ya wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa inaonyesha kuwa wanajeshi wa Rwanda walifanya mashambulizi ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kulisaidia kundi la waasi la M23.
Ugunduzi huo unafuatia miezi kadhaa ya mvutano kati ya DRC na Rwanda, kuhusu kundi hilo lenye sifa mbaya.
Kongo...
Kama sehemu ya Mikakati inayolenga kuboresha Maisha yao, Walimu wa Shule za Msingi Nchini Rwanda watapata nyongeza ya 88 katika Mishahara kuanzia Agosti
Mbali na nyongeza hiyo kwa ngazi na Msingi, Waziri wa Elimu amesema Mishahara ya Walimu wa Shule za Sekondari nayo itaongezeka kwa 40%
Pamoja...
Heshima sana wanajamvi,
Rwanda imeingia mkataba wa kuwachukua wakimbizi waliokimbilia UK kutafuta fursa mbali mbali za kiuchumi na wengine wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Rwanda ni nchi ndogo sana kwa maana ya eneo huku ikiwa na idadi kubwa sana ya watu.Rwanda ni nchi ya tano kwa...
Seneta Robert Menendez amesema atasimamisha msaada wa usalama wa Marekani kwa Rwanda katika Bunge kutokana na kuwa na wasiwasi kuhusu rekodi ya haki za binadamu ya Serikali ya Rwanda na taarifa za taifa hilo kuhusika katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Ameandika barua...
Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali.
Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una...
Afrika panazidi kukucha, Rwanda imeamua kuondoa upweke ambao huikumba Kenya kwenye kilele cha haya mavitu ya kutumia ubongo.
Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt...
Rwanda to launch satellite constellation by end of 2023
Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt, Ghana and Nigeria.
Rwandan Minister of ICT and Innovations Paula...
Dar es Salaam. If you believe that growing rice, maize and other crops that have traditionally been grown for food would not make business sense, then you far off the mark.
While it is true that Tanzanians have traditionally grown rice, maize, sweet potatoes, bananas, beans and sorghum mostly...
Laurent Bucyibaruta, aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Gikongoro Kusini amekutwa na hatia nchini Ufaransa kwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994, ambapo takriban Watutsi 800,000 na Wahutu ambao hawakufungamana na upande wowote waliuawa.
Gavana huyo wa zamani anadaiwa kutumia ushawishi wa...
Habari zenu wakuu,
Nina malengo ya kutembelea nchi za Uganda na Rwanda nikijaaliwa na Kenya na Burundi. Nilipata kuona mahala kwamba kama Mwananchi wa Jumuiya ya EAC naweza ingia bila passport ila kuna kibali napewa hivyo nilikua nauliza hapa kama kweli yawezekana kwa utaratibu huu na je napata...
Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 ijayo licha ya kuwa huko nyuma aliwahi kunukuliwa akisema hana mpango wa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
Kagame, 64, ambaye anajiandaa kutete nafasi yake ya Urais, amekuwa Rais kwa miaka...
Kwa mtu ambaye Rwanda hujafika na jinsi inavyotangazwa unaweza kusema haina kasoro.
Kila sehemu duniani kuna kasoro mfano Nairobi-Kibera, Dar-Mwananyamala na n.k
Sasa huko Rwanda Kigali
Nilisikia kuna Taifa Moja Afrika Mashariki jirani pia na Congo DR liliahidi kuisaidia Congo DR Kijeshi ila cha Kushangaza wamesitisha Uamuzi huo baada ya kugundua kuwa ukimgusa Rwanda jua umeigusa pia na Nduguye Uganda hivyo uwezekano wa kupata Kichapo Kitakatifu ni mkubwa ukizingatia 65% ya...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC), Felix Tshisekedi anatarajiwa kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Nchini Angola kwa ajili ya mazungumzo kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya mataifa hayo.
Haijawekwa wazi watakachozungumza katika mkutano huo utafanyika Jijini Luanda lakini...
DRC inaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa #M23, tuhuma ambazo Rwanda imezikanusha na imekataa ushiriki wa Jeshi la Rwanda katika kupambana na waasi hao, ambapo Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema hajali nchi yake kutengwa katika kikosi hicho
Nchi saba za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Katika vitu ambavyo vinanishangaza, ni wananchi wa Rwanda almost 90% wamefanan sura na Rais Kagame, je, hii inaweza kuwa moja ya matokea ya ndugu wa damu wa karibu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe?
Kwa kiingereza wanaita ‘Inbreeding depression’, je, inaweza kuwa ndio sababu ya kufanana wanachi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akizungumza na baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoshiriki Mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Kigali, Rwanda, Juni 20-25, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola hatimaye unafanyika Jijini Kigali, Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili (2020 na 2021) kwa sababu ya Ugonjwa wa COVID-19.
Mkutano huo unaofanyika kuanzia tarehe 20 hadi 25 Juni 2022 umegawanywa katika makundi mbalimbali kama vile ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.