rwanda

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kutupeleka Rwanda hakuwezi kutuzuia kufika Ulaya

    Kutupeleka Rwanda haukutuzuia kufika Ulaya Maelezo ya picha,Bahabelom Mengesha, ambaye kwa sasa anaishi Zurich, alipelekwa Rwanda na Israel mwaka 2014 Huku Uingereza ikiendelea na mpango wake wa kuwatuma waombaji wa uhamiaji nchini Rwanda, BBC imesikia Ushahidi kwamba, mwaka 2017, wakimbizi...
  2. R

    Tanzania mgombea Urais huru inawezekana kama ilivyowezekana Rwanda. Tujitafakari!

    Salaam, Shalom! KATIBA yetu ya nchi IPO wazi kabisa kuwa, HAKI ya kuchagua inaenda sambamba na HAKI ya kuchaguliwa. Yaani HAKI ya mgombea nafasi yeyote katika ngazi yeyote kisiasa, haipasi kuminywa ndani ya vyama vya siasa pekee. Jambo hili la kuminya HAKI ya kuchaguliwa, ndio hasa kitu...
  3. GENTAMYCINE

    Museveni alishatuonyesha kuwa anajua Kucheza Mpira na Juzi Kagame nae kakipiga huko Rwanda tunawaomba na wengine waonyeshe walicheza hata Netball tu

    Na tukiamua kucheza 'Netball' hatutaki kusikia Kukohoa na Kupumua kwa juu na Sharti Kuu ni Kuvaa Bukta au Gauni.
  4. I

    Amatora ya 2024 mu Rwanda: Abatavuga rumwe n'ubutegetsi b'ingenzi batemerewe kwiyamamaza

    Amatora ya 2024 mu Rwanda: Abatavuga rumwe n'ubutegetsi b'ingenzi batemerewe kwiyamamaza Diane Rwigara Imyaka: 43 Ishyaka: People Salvation Movement Umwuga: Umucungamari Profile: Yangiwe kwiyamamaza ku nshuro ya kabiri, komisiyo y'amatora yavuze ibyo atujuje. Komisiyo yavuze ko Rwigara...
  5. mwanamwana

    Amatora rusange yo mu Rwanda 2024: Komisiyo y'Igihugu y'Amatora yatangaje ko Paul Kagame ariwe uyoboye n'amanota 99.15%

    Amakuru, Komisiyo y’Igihugu y’Amatora ya Rwanda, NEC, yatangaje gahunda n’amakuru y’ingenzi yerekeye amatora ya Perezida na Abadepite yo mu mwaka wa 2024. Ibyavuye mu matora by'agateganyo:Ibyavuye mu matora y'umukuru w'igihugu by'agateganyo bizatangazwa mu ijoro ryo ku itariki ya 15 Nyakanga...
  6. Miss Zomboko

    Uchaguzi Mkuu Rwanda: Kagame ashinda Uchaguzi kwa kishindo

    Matokeo ya awali yanaonesha Paul Kagame amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kushinda uchaguzi wa Jumatatu kwa zaidi ya 99% ya kura. Kagame mwenye umri wa miaka 66 alishinda uchaguzi wa 2017 kwa 98.63% ya kura, kiwango cha juu zaidi ya 93% aliyopata mwaka wa 2010 na 95% mwaka wa 2003. Wakosoaji...
  7. A

    Wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo

    UN: Vikosi vya Rwanda vyasaidiana na M23 kupigana Kongo Ripoti moja ya wataalam wa Umoja wa Mataifa iliyoonekana na shirika la habari la Ufaransa AFP inasema, kati ya wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo. Ripoti hiyo inasema...
  8. kmbwembwe

    Mpango wa Kagame kupeleka wakimbizi wa Uingereza Rwanda wayeyuka

    Rais Kagame mpenda dili na mabeberu kupiga hela amepata pigo baada ya mpango wake kuleta wakimbizi wanaotaka kuingia Uingereza kuzuiliwa Rwanda kupata pigo kwa washirika wake Conservative Party kupigwa teke kwenye uchaguzi. Chama cha Labour wamesema hawataendeleza mpango huo. Mipango ya kagame...
  9. Marie Antoinette

    Mu ma pound arenga milioni 300, u Rwanda rutahiye umwimukira 1 gusa.

    Nyuma y'impaka ndende zaturutse mu mpande zose z'isi,minisitiri w'intebe mushya w'ubwongereza yashyize iherezo ku bimaze igihe byitezwe. Leta y'U Rwanda yimuye abana b'imfubyi(bamwe muri bo),babaga mu nyubako ya ODCC ku Kagugu,baguranwe amafaranga yo mu bwongereza. Loni ubwayo yagaragaje ko...
  10. T

    Anyone from Uganda or Rwanda

    Good morning Folks, I'm here in Dar es salam looking for anyone from those mentioned countries with EA, It would be better if i could get a lady, i have very important matter to discuss with her, Please DM for more information
  11. The Supreme Conqueror

    Bendera ya Tanzania yapeperushwa vyema nchini Rwanda

    Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki “FTX Ushirikiano Imara 2024” lililofanyika...
  12. Marie Antoinette

    Iby'impunzi zangiwe kwakirwa n'U Rwanda

    Minisitiri ushinzwe ibikorwa by’ubutabazi, Maj Gen (Rtd) Albert Murasira, yasobanuye ko impunzi zirindwi Ishami ry’Umuryango w’Abibumbye rishinzwe Impunzi (UNHCR) rishinja u Rwanda kwanga kwakira, n’ibindi bihugu byanze kuzakira bitewe n’imiziro zifite. UNCHR ni imwe mu miryango ikomeje...
  13. B

    Katiba Mpya imefanya Mapinduzi ya Kiuchumi, Kenya imezipiku Mapato ya Tanzania, Uganda na Rwanda kwa Pamoja

    Kanuni ni zile zile kwenye uchumi na hata kwenye maisha ya kawaida. Ili ujenge uchumi wako mfukoni unahitaji kukusanya mapato, kubajeti matumizi na kidhibiti upotevu na matumizi holela ya Fedha zako mwenyewe. Kwenye upande wa kudhibiti matumizi na kuhakikisha hakuna ukwepaji wa kodi, upotevi...
  14. Influenza

    Rwanda: Diane Rwigara aondolewa kwenye kinyang’anyiro cha Urais

    Mwanasiasa wa upanzani nchini Rwanda Diane Rwigara ametupwa nje ya kinyang’anyiro cha urais kwa kutotimiza vigezo vya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo. Kulingana na Mwenyekiti wa Tume hiyo Oda Gasinzigwa, Rwigara pamoja na kuwa na vitambulisho ghushi vya wafuasi wake pia alishindwa kuwasilisha...
  15. K

    Pegasus nchini Rwanda: Namna Mamlaka zinavyotumia Programu hiyo kuchunguza Wanasiasa na watu mashuhuri

    Kifo cha ghafla cha Anne Rwigara tarehe 28 Desemba 2023, kiliwashangaza familia yake inayoishi huko California. Anne, mwenye umri wa miaka 41, alikuwa dada wa Diane Rwigara, kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Rwanda ambaye aliwahi kujaribu kugombea urais. Anne, ambaye hakuwa na matatizo...
  16. The Sunk Cost Fallacy 2

    Ni Aibu Kwa Tanzania Kuzidiwa na Uganda, Rwanda na Kenya Kuvutia Utalii wa Mikutano Wakati tuna Utajiri wa Vivutio vya Utalii

    Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza. Cha kushangaza Tanzania imeshika imeshika nafasi ya 5 ikizidiwa na Nchi za Rwanda,Uganda na Kenya. My Take January Amefuta...
  17. K

    Ujasusi, vitisho, vifo vya kutatanisha: Rwanda inajaribu kunyamazisha Wapinzani na Wakosoaji wake nje ya nchi

    Jean Bosco Gasasira ameishi uhamishoni kwa karibu miaka 14. Mnamo mwaka wa 2010, alikimbia Rwanda baada ya kupokea vitisho vingi akiwa mwandishi wa habari na mhariri mkuu wa gazeti huru la Umuvugizi. Muda mfupi baada ya kuondoka kwake, mhariri mkuu wa muda aliuawa mjini Kigali, na kusababisha...
  18. K

    Wanajeshi Wanavyokufa Kimya: Vita vya Kagame visivyotambuliwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Inachukua saa chache tu kwa basi kutoka Kigali hadi Goma, lakini kusafiri kutoka Rwanda hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuligharimu mwandishi mmoja kuhama Nchi—na huenda kuligharimu mwenzake maisha yake. Mnamo Novemba 2022, waandishi wawili wa habari wa Rwanda, Samuel Baker Byansi...
  19. K

    Mgongano: Uchunguzi wa Kifo cha Mwandishi wa Habari, John Ntwali - Aliyewindwa na Mamlaka za Rwanda

    Mwezi Januari 2023, mwandishi wa habari wa Rwanda John Williams Ntwali aliuawa katika ajali ya barabarani. Ripoti zake zisizokoma kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu, mateso ya kisiasa, na ukandamizaji wa vyombo vya habari zilimfanya awe kupata uhasama kutoka kwa wenye mamlaka, jambo...
  20. Technophilic Pool

    Kwanini Rwanda hakujawai kuwa na uhuru wa hivi kama Kenya? Erick omondi amkosoa rais Ruto

    Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata akiuza hako kanchi! Lakin Kenya mambo ni yofauti. Ukipangilia nchi kwa uhuru wa kujieleza na kutoa...
Back
Top Bottom