Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo inadaiwa kuwa mzee huyo aliwasili Sumbawanga...
Alikuwa ni mpenzi wangu, dem wangu, nilimpenda sana kwa ghafla, nilipoanza nae mahusiano muda mchache tu nikaanza kupanga plan nyingi za kutimiza nae malengo fulani katika maisha,
Nikaanza kuwa na mawazo ya kutamani awe mke wangu siku moja, nikaanza kumtambulisha kwa ndugu na marafiki...
Leo 18:50hrs 08/03/2025
Simba ina sifa ya kugoma ila Yanga ina sifa ya utii na kufuata kanuni,sasa leo sababu ya utoto kabisa imehairisha mechi,hawakufikiria gharama za watu kutoka mikoa 31 waliokuja Dar es Salaam kuangalia mechi ya Simba na Yanga,mtaani watu wamepamba Maputo rangi nyeupe na...
Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni.
Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo alfajiri March 04,2025 na kufikishwa Hospitali akiwa mahututi na majeraha mwilini.
Akiongea...
Tupo hapa faya tunasubiri gari ya mwendokasi ya kwenda feri zaidi ya nusu saa zinapita tupu out of service yaani tumekaa sasa sijui ndio utaratibu huu wengine wageni
Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku
Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?
Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza...
Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito
ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda
Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
Kwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini maandishi kuhusu maelezo yanasema Chadema itasusia uchaguzi! Upotoshaji huu ni kwa manufaa ya nani? EATV...
Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni...
Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambapo Mkutano huo utakuwa chini ya uenyeji wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufuatia...
Hawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...
Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!
Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia..
Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi
Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
Tokea jana kuna mkanganyiko mkubwa na muingiliano wa Habari, hasa za kitaifa UTV.
Je, Msimamizi wa maudhui ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika chaneli hiyo ya Azam tv amekumbwa na nini!?
Maana imeshaanza kuwa kero kwa sisi watazamaji .😠😠😠
Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake.
Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete zinazovaliwa na watu mbalimbali wakiwemo Mashehe, Wachungaji, Maaskofu na watu mbalimbali. Huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.