Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Jinsia ni Me
Mkoa : Dar es salaam.
Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari
Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila kwa pm tunaweza kuwasiliana zaidi
ULEGA ATOA SAA 72 MAWASILIANO DARAJA LA GONJA MPIRANI YAREJEE
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani.
Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia...
Nimenukuu kutoka kwa mdau mmoja kutoka kwenye chombo kimojawapo cha habari.
Kwa mtazamo wangu na uchunguzi wangu kwa kuunganisha Dot. Pamoja na inshu ya Sasa ndani ya CDM Kuna mambo mengi nahisi kuyaona.
Na chelea kusema kwa namna moja ama nyine Mh FAM anahusika na uwenda yupo pale kwa msaada...
Kwenye kituo cha mabus ya kutoka gerezani kwenda Mbezi Mwisho abiria tumejaa tu humu mabus yanatupita hadi watu wamepaniki na kuwatupia lawama walinzi wa kituo.
Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia.
Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia
Heri ya Mwaka mpya 2025
Polen najua nawachukulia mda WENU kufurahia MWAKA mpya
Kumekuwa na ajali za ajabu sana MWAKA mpya ambapo
Kama kungekuwa na upimaji wa vilevi huko njian walipotokea
Tungeeweza kuthibiti vifoo kadhaaa
TUNAOMBA leoo tukeshe wote kulinda uhai wetu
Dec imekula sana JAMAN kupitilixa
Mpaka...
Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie
Mwanaume nimeamua kupika
Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza
Nakosea wapi wakuu
1. Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 na nusu alfajiri.
2. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali.
3. ATC ina CEO/MD?
NB: European Union wana kila sababu kuipiga pini...
Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi.
Mkuu wa Wilaya wa eneo ambalo yalitokea maafa ya ghorofa kuanguka, anamkamata na kumuweka ndani. Ebooo! Kwa hiyo Mkuu wa...
PRICE 8000/-
🚫saa sa kisasa za watoto zinapatikana
💦haziingizi maji
💪zinatumia battery ambayo inadumu kwa miaka zaidi ya miwili
✌️ni nzuri sana kwa watoto wa mashuleni wanakua sharp na kutunza mda
☎️0753409810/ 0674582231
📍tupo MANZESE TIPTOP OPPOSITE JM HOTEL
NB: TUNATUMA MIKOA YOTE KWA UAMINIFU
Wanabodi
Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。
Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。
Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini...
Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo.
Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea...
Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu
Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki
Sote tunakaribishwa:
https://x.com/i/spaces/1OwGWNkRORVKQ/peek
Wazungumzaji nguli watakuwepo.
Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
Sasa ni rasmi serikali inakusudia kufunga kamera za ulinzi (CCTV), katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24.
Mkurugenzi wa Jiji la Ilala, juzi alitoa taarifa ya kumtafuta mzabuni akayetekeleza kazi hiyo na jana ilikuwa ni...
Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao
Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu Hawana huruma watu wanauliza na kuambiwa kwani kuna aliyezidiwa hapa? Ukiuliza sana unaambiwa Nenda...
Nimeona hio Documentary ya 60 Minutes; Kwa ufupi AI inahitaji kuwa trained ili iweze kugundua vitu kama picha, watu emotions n.k. Sasa Serikali ya Kenya imekuwa ikivutia makampuni kuja kuwekeza Kenya kwamba watu wana knowledge na labor ni cheap (kama walivyokuwa wanakwenda sana nchi kama India)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.