Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma.
Eneo lile pana giza zito na hakuna ulinzi wa aina yoyote mida hiyo hali inayopelekea wahalifu...
Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi .
Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin...
Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini.
Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni...
Nchi za ulimwengu wa tatu ikiwemo Tanzania zina kile kinachoitwa vikao vya ndani. Vikao hivi ujadili mambo mengi ya kimkakati ndani ya misingi ya sheria na nje misingi ya sheria.
Lakini katika vikao vyote kwa sasa binadamu wamebadilika sana. Wapo wanaoamini katika haki na wapo wanaoogopa...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12
Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote
Tutakujuza
Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024
Nasrallah expected to give speech at 6 p.m.
Today, 10:25 am
3...
Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo.
Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo bize na shughuli zake binafsi za ujasiriamali halafu muda wote ni kuchomekea tu na tai. Injinia gani...
Agosti 16, 2024
Pamba Jiji vs Prisons 10:00 Jioni
Agosti 17, 2024
Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 10:00 Jioni
Namungo FC vs Fountain Gate 1:00 Usiku
Agosti 18, 2024
Kengold FC vs Singida BS 8:00 Mchana
Simba vs Tabora United 11:15 Jioni
Wakuu habari.
Mungu wangu awatie nguvu na moyo wa mapambano awajalie neema na baraka.
Naomba kujua
Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo.
Jirani yangu(mpangaji mwenzangu) dada wa umri kati ya miaka 15 hadi 20 kanigongea saa kumi kamili usiku anahitaji chumvi na sukari mama yake anaumwa...
1. Tumewaonea tu Huruma nanyi mshinde ili mfurahi
2. Tumewaachia ili msije Kuuana bure
3. Tumeshachukua letu la Kwanza kwa Mandele hivyo tulitaka nanyi mchukue lenu kwa Nyerere
4. GENTAMYCINE alishasema kuwa Mwamuzi ni Shabiki mwenzenu hivyo tulijua tu tutakufa
5. Tumeshachoka kila mara...
https://www.mwananchi.co.tz/mw/michezo/hisia-zangu-uwanja-wa-mkapa-kujaa-saa-sita-mchana-siyo-sifa-4715548
Msomeni Edo, kaandika madini mazuri sana!huyu jamaa ni mzuri sana katika uandishi
Credit: Mwanaspoti
Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini..
Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku...
,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume,
Kichaa...
Habarini wadau,
Kwa wahusika ningependa ielekeze tangazo maalum la usomaji wa saa kwa wananchi wa Tamzania,
Mpaka sasa tuna mifumo mitatu ya uandikaji wa muda kuna :
1. 24hrs
2. 12hrs
3. Asubuhi/ Usiku
ratiba za treni za SGR zimeandikwa kwa kufata muda wa asubuhi/ usiku
Mfano 2:30 usiku hapa...
Eng Hersi Said akili nyingi
Amewahadaa mbumbumbu kaweka attention ili suala la jezi liende.
Kesi iliyoamuriwa mwaka 2022 iwe Leo ndo ihitaji maamizi.
Mbumbumbu wamegoma kustuka wapo usingizini
Kwa akili hizi wanahabari watajaa, macho ya watu yote watashuhudia uzinduzi wa jezi mpya za msimu...
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani.
Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake.
Chanzo cha habari yangu ni...
Salaam, Shalom!!
Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta?
Iweje mlipwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa?
Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali...
Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku.
Unahisi jina gani halitokosekana?
=====
Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku
Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula
Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.