Balozi Polepole anazipokea helikopta mbili toka Tanzania kwenye uwanja wa ndege Chileka Blantyre Malawi, ndege hizi ni kwa ajili ya kutoa msaada wa uokoaji wananchi waliokumbwa na kimbunga Freddy, hizi zitafuatiwa na misaada ya chakula, madawa na mahema ambavyo vinaelekea huko kwa njia ya...