Kwa mujibu wa uislam mtu anapokaribia kufariki huonyeshwa matendo yote alofanya katika maisha yake. Kisha huonyeshwa mafikio yake eidha motoni au peponi. Sasa wanasayansi wa leo wame prove hilo
Je,wajua kinachopita akilini mwako unapokaribia kufa?-Utafiti
Saa 7 zilizopita
CHANZO CHA PICHA...