Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini.
Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika.
Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni.
Mtoto alipomuona baba yake , alimwambia “ Baba ninaweza kukuuliza swali?”
Baba akajibu, “ndio, unaweza ni nini...