Yanga tuna ujinga mwingi sana
Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake
Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua
Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.
CAF hawapangi muda wa home games
Ndiyo maana mazembe ameweka mechi...
GreatThinkers
Naombeni nimpe muongozo.
Mtu mzito akifa bendera zinapepea nusu mlingoti.
Lakini katika hali ya kawaida sa12 lazima bendera zishushwe why? Ni utamaduni ama kitu gani?
Serpenti Sedutori (Nyoka atongozaye) ndio saa inayovuma saa hizi mtandaoni popote Tanzania na East Africa, gharama yake ikiwa ni dollar za kimarekani 44,200, takribani shilingi za kitanzania 110,500,000/= (millioni mia moja na kumi na laki tano)!
Soma zaidi hapa chini ili kujua imetengenezwa...
Waarabu mchawi wao jua tu
Mamelodi na makali yake ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa Pretoria. Jua kali maana anajua jua Waarabu hawaliwezi.
wakuu ni Adje.
Mechi ya South Africa na Nigeria tulikuwa tunacheki mshkaj wetu mmoja akawa kuna demu anamfukuzia, sasa mpaka usiku mrefu anachat nae akawa anatuambia demu anasema yupo na mtu wake.
Jamaa wangu mmoja akajibu hivi.
Hakuna mwanamke aliyepo kwenye mahusiano na anaishi na mwanaume...
Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy.
Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo Polisi,sio Mkuu wa Mkoa wanaonekana kuwa na taarifa yoyote ya maandamano.
Kiongozi wa serikali...
Wote tumeshuhudia namna Paul Makonda amekuwa jasiri na Hodari kuhakikisha haki za wanyonge zinapatikana lakini kusimamia uwajibikaji kwa Viongozi na watumishi wa Umma kote anakopita. Kwa sasa Makonda ni tumaini linalochomoza la wanyonge kuwapatia haki.
Ni wakati muafaka sasa Familia ya Ben saa...
Tangu asubuhi ya leo mida ya Saa 12 asubuhi (Januari 30, 2024) tumeweka kwenye foleni hapa maeneo ya Kibaigwa (Dodoma) na hatujui kinachoendelea, taarifa ambazo si rasmi inadaiwa kuna msafara wa Kiongozi wa Serikalini.
Jiulize kwa muda wote huo zaidi ya Saa tano inaelekea 6 hours hakuna magari...
Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani.
Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF
Hali hii tunaipitia wangapi?
MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka.
Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya?
Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme.
Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda nasi tuko gizani na kazi zimesimama?
Ameacha makonda na viongozi wachache wakisema kura Kwa mama...
Biblia imeficha siku na saa Kahusu ujio wa Yesu Christ. Haijatuficha majira. Ni kama kifo cha mwanadamu tumefichwa siku na saa lakini sio miaka.
Kifo cha mwanadamu ni miaka 70-80. Kuhusu unyakuo wa kanisa na mwisho wa dunia, Biblia imetoa ratiba za wazi kabisa. Kama husomi ni wewe tu umeamua...
Naamini kabisa leo kuna mtu anapata mafunzo kwa vitendo kwenye kitengo cha kukata umeme hapo Tanesco.
Maana kila baada ya nusu saa wanakata.
Nimekaa hapa nawahesabia tu.
Habari za muda huu wanajamvi. Naenda moja kwa moja kwenye mada..
Mpaka hivi leo matumizi ya saa janja za mkono (smart watch) yameongezeka sana hapa nchini na maeneo mengine duniani, hali hii imetokana na kuongezeka kwa uelewa juu ya teknolojia inavyoweza kusaidia kwenye maisha ya kila siku...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeruhusu tena vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) vya kuendesha safari za ndege za abiria kati ya Nairobi na Dar es salaam chini ya vifungu vya Haki za Uhuru wa Trafiki namba tatu na nne kuanzia January 22, 2024 na imetengua uamuzi wake wa jana...
Mimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
Kuna mambo yanakera sana aisee yaani mtu unamuambia mimi na wewe tunakaa chumba kimoja na bado anataka kumleta ndugu yake na halafu mimi bado sijajipanga kiuchumi na ukimuelekekeza anasema mimi sitaki ndugu zake
Na ananiambia yeye kuwaleta ndugu zake si laxima aniambie mimi yeye anawaleta tu...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa eneo la Bonyokwa Jijini Dar es Salaam lina kero ya kutopata Huduma ya Maji kwa takriban Wiki 5, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema maelekezo yametolewa kwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wakazi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.