sababu za

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Alieelewa sababu za penati ya Atletico Madrid kukaliwa anieleweshe

    Maajabu yametoka huko Madrid baada ya Madrid kupewa ushindi wa penati.
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwa wanasayansi wabobezi.Ni zipi sababu za msingi zinazomfanya kuku asikojoe ili hali maji ana kunywa?

    Kwa ma senior wa science wa hapa Jf. Mimi ni mfuga kuku mzuri tu na nimzoefu lakini sijawahi kuona kuku anakojoa!! Nasemea kuku kwa sababu ndo ndege nilioanza kuwafuga tangu utotoni mwangu. Pamoja na kwamba kuku ni kiumbe anayekunywa maji pia lakini sijawahi kuona mkojo wake. Sungura kwa...
  3. Dr isaya febu

    Sababu Za Mwanaume Kuwahi Kumwaga

    Kuwahi Kumwaga: Kuwahi kumwaga (kuwahi kufika kileleni) kwa mwanaume ni hali ambayo hutokea pale mwanaume anapopata mshindo (anapofika kileleni) mapema zaidi kuliko yeye au mwenza wake wanavyotarajia, mara nyingi ndani ya dakika chache baada ya kuanza tendo la ndoa. Tatizo hili hujulikana kwa...
  4. M

    Bodi ya ligi mmeingia kwenye mtego mbaya sana,,kitendo cha kuahirisha mechi bila sababu za msingi na kikanuni kitawagharimu!

    Naona kabisa bodi ya ligi imetengeneza tatizo juu ya tatizo,,bodi ya ligi ilitakiwa isimamie Sheria na kanuni walizoziweka zinazoendesha ligi na sio busara! Kanuni ziko wazi kwa timu inayogomea mechi na kanuni ziko wazi kwa timu iliyozuiliwa kufanya mazoezi aikuwepo haja yoyote ya kutumia ata...
  5. LIKUD

    Picha: Sababu za kiroho kwa nini Simba wanaogopa kupeleka timu uwanjani

    " Wajomba zangu nisiwafiche, Kwa Yanga hii Simba hamchomoki"
  6. A.MTALE

    Ni zipi sababu za Akaunti ya Bank Kuzuiliwa?

    Habari wakuu!! Naomba kufahamishwa ni zipi sababu za Akaunti ya bank kuzuiliwa kuhamisha pesa. Ukijaribu ujumbe unakuwa "Hauruhuziwi kuhamisha fedha kwenye akaunti hii" Ukiwapigia Customer Service wanakwambia akaunti imezuiliwa na Tawi lako, nenda kwenye tawi hilo. Sasa mimi ni miaka mingi...
  7. Jchris14

    Weka tunda unalolipenda hapa, na sababu za kulipenda

    Wakuu kwema? Nimeona leo tutaje matunda tunayoyapenda zaidi, na tuseme sababu za kuyapenda ili iwe elimu kwa ambao hawajui other side of fruits wonders to our body health. Binafsi tunda ninalolipenda zaidi ni Tikiti Maji 🍉 Yaani huwa nikitoka kwenye mishe mishe zangu mfano kwenye physical...
  8. Moaz

    SABABU ZA AFRIKA KUSHINDWA KUBADILISHA MAARIFA NA ELIMU KATIKA LUGHA ZETU MAMA

    Sababu kuu zinazofanya mataifa mengi ya Afrika kuwa na hofu au kukosa ari ya kubadilisha maarifa na elimu zao katika lugha za asili ni mchanganyiko wa sababu za kihistoria, kitamaduni, kiuchumi, na kimaadili. Hapa chini ni baadhi ya sababu kuu: 1. Urithi wa Ukoloni na Lugha za Kigeni Madaraka...
  9. milele amina

    Utafiti wa Uchaguzi wa Madiwani: Changamoto na Sababu za Kutokuchaguliwa kwa Madiwani wa CCM October 2025

    Katika utafiti uliofanyika nchini, kupitia kila kata, imebainika kuwa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochaguliwa chini ya utawala wa Rais Magufuli, meaka 2020, kwa asilimia 90 hawataweza kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali...
  10. Dr isaya febu

    Sababu Za Uke Kutoa Harufu Mbaya

    Kutoa Harufu Mbaya Ukeni: Uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa. Uke kutoa harufu mbaya kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi wa candida albicans, japo sio kila mara ndio maana kuna umuhimu wa kutafuta chanzo cha tatizo la...
  11. Moaz

    Sababu Za Wageni Kufanikiwa Zaidi Kibiashara Afrika Kuliko Wazawa na Nini Tufanye Ili kujinasua na hili Tatizo

    Wageni wanapofanikiwa zaidi kuliko wazawa katika nchi nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, kuna sababu nyingi za msingi zinazoeleza hali hii. Wageni mara nyingi wanauelewa mfumo wa kiuchumi, kisheria, na kiutawala kwa namna ambayo huwapa faida kubwa. Pia, kuna masuala ya kihistoria, kisera, na...
  12. K

    Msaada, dawa ya mwanamke mpenda kununanuna bila sababu za msingi

    I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku...
  13. 6 Pack

    Zijue sababu za jeshi letu JWTZ kutokutoa kichapo kingine kwa M23, kama tulivyotoa mwaka 2013 hadi 2014

    Niaje waungwana Kwanza kabla ya kuelezea sababu za jeshi letu kutokutoa kichapo kwa M23, naomba kwanza nianze kuwapa historia tukufu ya jeshi letu la JWTZ au TPDF kwa nchi mbali mbali za Africa na Dunia kwa ujumla. JTWZ chini ya baba wa taifa letu hayati mwl. Julius K. Nyerere ndio iliyoongoza...
  14. Pascal Mayalla

    Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!

    Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka...
  15. S

    Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
  16. Jerry001

    Sekretarieti ya Ajira acheni kuwawekea waomba ajira vigingi visivyo na sababu za msingi.

    Habari, Sekretarieti ya ajira mmeaminiwa kutangaza na kuendesha mchakato wa ajira kwa haki na usawa ili watanzania tuombe ajira za umma kupitia taasisi yenu. Mnapokuwa mnaweka vigezo ambavyo havina umuhimu mkubwa na kuzuia watu kufanya usaili ni kama kutuwekea vigingi tu tunaoomba hizo ajira...
  17. M

    Anayefahamu kiufundi sababu za kocha kumtoa Mpanzu leo wakati bado anaupiga mwingi aniambie

    Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness. Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje. Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na...
  18. Mindyou

    Pre GE2025 Wilfred Lwakatare afichua sababu za kutojiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uenyekiti CUF

    “Endapo nikikuta jina la Profesa Ibrahim Lipumba katika karatasi za wagombea uenyekiti najitoa.” Hii ilikuwa kauli ya aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Wilfred Lwakatare. Licha ya kutoa kauli hiyo mara mbili kwa nyakati tofauti alipozungumza na Mwananchi, Lwakatare...
  19. Manfried

    Hizi ndo Sababu za kiroho kwanini Beatrice Mwaipaja hatofanikiwa na ataendelea kuwa chini zaidi

    Habari wakuu . Kwanza pole Sana Beatrice Mwaipaja na pole Sana Martha Mwaipaja . Naanza hivi Martha Mwaipaja , she was no body hakuwa chochote na ameishi maisha ya kawaida Sana muda mrefu . Ila ameanza kufanikiwa baada ya yeye kuanza kupenda mafanikio ya wenzake Kama Diamond n.k Na kuujua...
  20. Mhafidhina07

    Lissu hatoshinda nafasi ya uenyekiti kwa sababu za usalama na nguvu ya Dola

    Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano TLP chini ya Mrema Na CuF chini ya Mwenyekiti Prof Lipumba lakini havikuweza kitimiza azima ya chama cha siasa kwa sababu za kiusalama au uoga. Tumeshuhudia...
Back
Top Bottom