sababu za

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Wataalamu wanadai hizi ndiyo sababu za Tsh kuimarika dhidi ya Dola

    Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola. 1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali. Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola...
  2. Manfried

    Sababu za kiroho kwanini uvae msalaba ?

    Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo . Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa . Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu Msalaba huwa unatangulia na watu wanafata nyuma. Ntarudi kuendelea ....
  3. ngara23

    Sababu za kwanini Chato haina hadhi ya kuwa Mkoa

    Zimeibuka agenda ati Chato inatakiwa ipandishwe hadhi kuwa Mkoa ili kuridhisha mizimu na kujitakasa kisiasa Kwa watu wa Kanda ya Ziwa Me natokea Kanda ziwa ila siungi mkono hii hoja ya Chato kuwa Mkoa 1. Utitiri wa Mikoa Chato itapana na Mikoa ya Geita, Shinyanga na Kagera, ambayo ina ukaribu...
  4. Mtoa Taarifa

    Kama hizi ndio sababu za Tanzania kujitoa kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu ya Afrika (AfCHPR), basi tuna tatizo sana la Utawala Bora

    Tanzania ilijitoa rasmi kwenye Mkataba wa Kukubali Mamlaka ya Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu ya Afrika (AfCHPR) mnamo Novemba 2020. Sababu kuu zilizotajwa ni pamoja na: 1. Matumizi Mabaya ya Haki za Kisheria: Serikali ya Tanzania ilidai kuwa baadhi ya watu binafsi na mashirika walikuwa...
  5. N

    LGE2024 Sababu za CCM kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa ya mwaka 2024

    1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025. Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm. 2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea...
  6. Roving Journalist

     Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  7. Waufukweni

    Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

    Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho. Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu...
  8. N

    Pre GE2025 Sababu 100 za kumchagua Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hizi ni sababu zangu 100 zitakazonifanya nimchague Rais Samia katika uchaguzi mkuu wa 2025, zingatia kuwa hizi ni sababu zangu binafsi na siyo sababu zako. 1. Ana uzoefu katika uongozi ndani ya chama na serikalini I.e uzoefu wa zaidi ya miaka 30. 2. Ana...
  9. B

    Kupisha machungu ya ndugu kupotezwa au kuuawa kwa sababu za kisiasa kwanini tusikubaliane walioko madarakani wadumu milele?

    Ni machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa? Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao? Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu. Kwamba haya...
  10. LIKUD

    Sababu za kiroho kwa nini unatakiwa kula mananasi kwa wingi kwenye msimu huu wa Mananasi

    Sababu ni moja tu nayo ni👇👇👇 Kwa sababu huu ni msimu wa Mananasi. Katika ulimwengu wa roho, kunapokuwa na msimu wa kitu fulani, tafsiri yake ni kwamba muda huo ndio muda sahihi wa kufanya kitu hicho. Mifano kupanda mazao msimu wa mvua zinapo anza. Sasa hivi ni msimu wa Mananasi, tafsiri yake...
  11. Burure

    Wadada wetu wa vyuoni wanajiuza sana hasa kwenye sehemu za starehe

    Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini 1. Ugumu wa Maisha Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
  12. Swahili AI

    Sababu za kuishi maisha mafupi

    Ufeki Ufeki Kufeki Vyafeki Nyumbani unakuta una li sabufa feki linakupiga kelele na kutokujua unaweka msauti mkubwa kukomoa majirani kumbe unajimaliza mwenyewe. TV feki linakumulikia mwanga mbofu unaua macho, unaua viungo vya mwili kimoja baada ya kingine, kwani maisha yako usiyafupishe. Una...
  13. M

    Sababu za Simba kuachana na CEO wao ni zipi

    Klabu ya Simba imetangaza kuachana na CEO wake raia wa Rwanda bwana Regis Francos kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao je sababu hizo zaweza kuwa ni zipi? mbona Simba inafanya vizuri katika ligi?
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Hizi ndizo sababu za vijana kufa haraka (pre mature death)

    Naona vijana sasa wanakufa utadhani kuna mashindano wanayafanya. Magonjwa ya ghafla Ajali Vifo vya usingizini n.k Sababu hasa ya vifo hivi ni nini? 1. Zinaa na ulevi. Mithali 6 : 32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. For read more download...
  15. U

    Serikali ya Iran yafunga kiwanda chake cha kutengeneza magari kilichojengwa Syria miaka 20 iliyopita, sababu za kiuchumi na mahusiano mabaya zatajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20 Syria...
  16. Thabit Madai

    Inafikirisha sana sababu za Yanga kuachana Gamondi

    ...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo. Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei rekodi uliyoiweka kwenye klabu bali kelele za Mashabiki na maamuzi ya viongozi kwa wakati huo. Na hii...
  17. U

    Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  18. J

    Sababu za kusameheana

    Sababu za kusameheana Msamaha ni Nini Biblia inaposema achilieni nanyi mtaachiliwa (Luka 6:37) ina maana gani Neno msamaha, halina tofauti sana na neno ‘kuachilia’ au ‘kufungulia’. Unapomsamehe mtu aliyekukosea ni sawa na umemwachilia huru katika moyo wako. Huna deni naye tena, anakuwa...
  19. Q

    LGE2024 Sababu za kususia kujiandikisha Daftari la Mpigia Kura

    Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha: 1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko. 2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza mijin vijijin wapo na chama chao cha uhuru. CCM mbele kwa mbele. 3. Wasimamizi wa uchaguzi ni ma CCM...
  20. Waufukweni

    Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa

    Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo...
Back
Top Bottom