sababu za kiusalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania China wanataka kupiga marufuku “hidden door handles” kwenye magari, kwa sababu za kiusalama!

    Wakuu. Trend maarufu ya retractable door handles aliyoipa umaarufu bwana Elon Musk kwenye magari ya Tesla na kuigwa kila pande za dunia, baada ya kuonekana ina mapungufu mengi uko China wanaplan ya kuipiga marufuku. Lengo kuu la hidden door handles ni kupunguza drag coefficient, kwahiyo...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Iran wapigwa marufuku kutumia simu za mkononi mobile phone ndani ya maeneo ya Bunge chanzo ni sababu za kiusalama!

    Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf ameunga mkono uamuzi wa kupiga marufuku matumizi ya simu za mkononi kwa wabunge, akieleza kuwa suala hilo linahusiana na masuala ya kiusalama. "Waheshimiwa wabunge, suala la matumizi ya simu ndani ya ukumbi wa Bunge limejadiliwa na sekretarieti ya Bunge...
  3. JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  4. JamiiForums Tanzania Kilwa: Jeshi la Polisi lapiga marufuku Mkutano wa Hadhara wa ACT Wazalendo kwa Sababu za Kiusalama

    Mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo uliotarajiwa kuhutubiwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu ambao ulipangwa kufanyika katika viwanja vya Maalim Seif Garden, Kilwa Kivinje, mkoani Lindi leo, Ijumaa Desemba 06.2024 umepigwa marufuku na Jeshi la Polisi kwa kile kinachoelezwa kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani na Nchi Nyingine Za Ulaya Zafunga Balozi Zake Kyiv Ukraine kwa Sababu za Kiusalama

    Marekani, Uhispania, Italia, na Ugiriki zimetangaza kufunga kwa muda balozi zao mjini Kyiv siku ya Jumatano, baada ya kuripoti " uwepo hatari kubwa ya mashambulizi ya anga nchini Ukraine." Ubalozi ya Uhispania iliwajulisha raia wake walioko Ukraine kupitia barua pepe kuhusu kufungwa kwa ofisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…