Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Wakuu.
Trend maarufu ya retractable door handles aliyoipa umaarufu bwana Elon Musk kwenye magari ya Tesla na kuigwa kila pande za dunia, baada ya kuonekana ina mapungufu mengi uko China wanaplan ya kuipiga marufuku.
Lengo kuu la hidden door handles ni kupunguza drag coefficient, kwahiyo kuongeza efficiency ya gari. Mahesabu ya kiinjinia yanakadiria hidden door handles zinapunguza approximately 0.01 Cd (drag coefficient) ambayo ni karibia 0.6 kWh (unit) za battery kwa kila kilometa 100 utakazo tembea.
Kwa lugha nyepesi kwamba kila 100 km utasave shillingi 200 katika kuchaji EV yako yenye hidden handles.
Sababu kuu za kutaka kupiga marufuku hii style ya door handles ni nyingi, ila kuu mbili ni gharama na usalama.
Gharama na reliability: Hizi door handles nyingi ni za electronic, kwahiyo kuzitengeneza ni gharama ambayo inaongezeka kwenye gharama ya gari na gharama za matengenezo zikifeli.
Issue za kiusalama: Mara kadhaa kuna incident za vumbi au barafu kuzuia hizi door handles kufanya kazi. Inapelekea abiria kufungiwa ndani na kushindwa kutoka.
Tutaona kama Mataifa mengine wataiga na je kama wataifikiria na ile case ya side mirrors za camera.