sabuni za maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu nimeongeza sabuni za maji na Jiki ya nguo nyeupe, 🙏

    Nikiendelea na harakati ZANGU za usafi wa mazingira, nikafikiri hatuwezi kuweka mazingira safi pekee ilihali nguo zetu haziko safi. Sasa nimekuja na sabuni za maji na Jiki ya nguo nyeupe, angalizo, bado sija sajiliwa natengeneza kama mjasiriamali mdogo nipo kwenye utaratibu wa kufuata Sheria...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa kuuza kwa kukopesha sabuni za maji

    Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji . 1.Target chupa 60 za Lita moja 2.Mshara 150,000 3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500 Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo Mawasilino: 0657010002 au tuma CV mazingirapacha@gmail.com.
  3. JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji na sabuni za miche, shampuu batiki, mishumaa na jinsi ya kuzingatia vipimo wakati wa kutengeneza sabuni

    Makala hii imeandaliwa kwa lengo la kumkwamua mjasiriamli katika kutengeneza bidhaa mbalimbali za ujasiriamali itumie kujigunza kunatengeneza bila kufundishwa. Kupitia program maalumu ya mafunzo kwa njia ya mtandao, watu wengi sana wamenufaika kupitia blog hii na wengi wamebadilisha maisha yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…