Nyamko Ana Sabuni (born 31 March 1969) is a Swedish politician who has been Leader of the Liberals since June 2019. She previously served as Minister for Integration from 2006 to 2010 and as Minister for Gender Equality from 2006 to 2013 in the Swedish government. A member of the Liberal Party, Sabuni was elected a Member of Parliament in 2002. Sabuni made history in June 2019 by becoming the first party leader in the Swedish parliament coming from an ethnic minority and the first party leader of a refugee background.
Zamani hii nembo ilibaki hata baada ya sabuni kuisha. Lakini siku hizi nembo inaaanza kutoka na kuiacha sabuni bila jina la brand? Au gundi zimepanda bei?🤣🤣
UTANGULIZI:
SURA YA KWANZA
UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI
SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO
SABUNI ZA CHOONI
SABUNI ZA KUFULIA
SHAMPOO
UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE
MAFUTA YA MGANDO (Kupaka )
SEHEMU YA PILI
UTENGENEZAJI WA :
BATIKI AINA ZOTE
UTENGENEZAJI VIKOI
SHANGA, HERENI, BANGILI
UTENGENEZAJI ZURIA...
Wanajamii,
Leo nimeona nitoe kero ambayo nimekuwa nikikutana nayo maeneo mengi hata ya serikali. Wanachanganya sabuni ya kunawia na maji.
Nafikiri lengo la wachanganyaji ni ili isiishe mapema bila kujua inaweza isiwe inakamilisha lengo.
Hivi hawa wachakachuaji wanatumia mwongozo Gani? Na...
Na ole Wenu Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio nchini Tanzania Kesho Jumatano tarehe 12 January, 2022 ( Mapinduzi Day ) misiwasikie mkiizugumzia hii kwani imeshaenea na Kusambaa mno huko Isles ( Zanzibar )
Na yawezekana Wachezaji wake wengi ( hiyo Klabu ambayo GENTAMYCINE bado...
Maisha yanapanda kwa kasi Sana.
Kila kitu bei juu! Nimeshangaa kipande cha Sabuni sasa ni 600 badala ya 500. Soda sasa ni 600 badala ya 500.
Maji nayo yamepanda bei.
Huduama za kijamii nazo zinasuasua
Watawala mtuhurumie.
Asilia Natural Cosmetics tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 5 katika kuendesha mafunzo kwa vitendo ya bidhaa za nyumbani. Na sasa tumekuja na formula rahisi ya kuwezesha uzalishaji wa sabuni ya kipande papo kwa papo bila kusubiri masaa 24 wala kutumia jiko, wala kutumia mashine.
Hivyo, tunahitaji...
Je, unajua hakuna sabuni nzuri katika mwili kama sabuni za mawingu? Najua utauliza kivipi je unafahamu sabuni ya magadi haina expire date za sabuni zingine ?
Uzuri wake unaanzia hapo Ogopa sana bidhaa ambazo baada ya muda Fulani unaambiwa eti haifai kwa matumizi na LA kujifunza hakuna sehemu...
Nipo Mkoani Simiyu Wilaya Ya Meatu.
Huwa nanua sabuni hizi kwa bei kati ya 10500,10800 au 11000.
Hizi bei na karibu katika maduka yote ya jumla jumla hapa Mwanhuzi.
Ningependa kudeal na ununuzi na uuzaji wa sabuni hizi peke yake kwa ujumla na kisha kuziuza mwenye rejareja huko vijijini.
Ni...
Habari wakuu,
Nimepata soko la supermarkets, kwa kuanzia bidhaa ziwe na TBS kama kigezo cha kwanza. Bidhaa ziwe Sabuni,Lotion, shampoo,mafuta ya nywele na steaming. Zizalishwe Tanzania.
Piga 0713 039875 Kwa maelewano zaidi
Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya.
Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi...
Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee
Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee
Mmoja anaingia mmoja anatoka
Huyu kazi anaililia yule kaichoka
Mmoja anazaliwa mmoja anakufa
Shimoni anafukiwa kwani ni ruksa
Viumbe hawa...
Habari wakuu.
Naomba yeyote mwenye biashara ya kutengeneza sabuni za mche hapa Arusha tuwasiliane anipe ujuzi.
Kama upo Arusha au una contact za mtu aliye Arusha naomba msaada wako.
Natanguliza shukrani.
Nimekumbuka miaka ile, kulikuwa na sabuni nzuri sana za kuogea. Mnaikumbuka Geisha? Sabuni flani hivi kubwa haswa. Ilikuwa sabuni nzuri sana.
Pia kulikuwa Revola, nilikuwa navutiwa na tangazo lake luningani. Pia wangapi wanakumbuka sabuni ya Robert Medicated Soap? Siku hizi hizo sabuni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.