sadaka

Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة‎, Urdu: صدقہ‎, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence", plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity". According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".

View More On Wikipedia.org
  1. Wazanzibar hatuutaki Muungano na Tanganyika

    Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha, jinsi ya utawala halali wa kIzanzibar kabla ya kuja mapinduzi ambayo yamepelekea athari kubwa miongoni mwa Jamii ya Wazanzibar hadi...
  2. Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

    Habari za wakati huu Wana jamvi, mama yetu yupo Egypt kwa majukumu yake ya kikazi, niende moja kwa moja kwenye mada. Ibada ni kitu muhimu Sana hasa kwa welfare ya kiroho, kwa sababu Vita ya kiroho ni Kubwa Sana Bora hata mtu akukimbize na panga unaweza ukajitetea kwa kukimbia au kupambana nae...
  3. Kwanini sadaka katika nyumba za ibada hazitolewi mchanganuo wa matumizi?

    Habari zenu wakuu, Naomba kupata muongozo katika hili. Katika nyumba za ibada makusanyo ya sadaka huwa wanasema ni kiasi kadha lakini linapo kuja swala la matumizi hawatolei mchanganuo wa matumizi ya pesa hizo. Je, kuna ubadhilifu nyuma ya hili?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…