Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة, Urdu: صدقہ, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence", plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity". According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".
Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame Mashariki, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali katika ibada ya Misa Takatifu kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita ambapo watu / mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani.
Sadaka hizo zilikuwa ni majitoleo ya shukrani...
Kuna Video nimeona sehemu, ambayo watu wanasema Mtumishi huyu wa Mungu kadokoa Sadaka Madhabahuni mwa Bwana.
Mimi naiangalia mara mbilimbili siamini macho yangu. Nimeamua kupost hapa ili wataalamu wa Video wasaidie kudadavua.
Je, huyu Kadokoa sadaka? Kama kadokoa sadaka, karma itamuacha...
Habari za mchana huu wadau.
Natumain mko salama na mnaendelea kulijenga taifa letu Tanzania kwa moyo mmoja.
Niiingie kwenye Mada.
Huu ni ushuhuda wangu binafsi kuhusu jambo ambao wana JF wengi humu hulitolea mapovu sana..KUTOA
SADAKA YA ZAKA
Declaration of interest ni kwamba, binafsi nimekua...
Siku moja baada ya Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama Dk Eliona Kimaro kupewa likizo, ibada ya asubuhi (Morning glory) imefanyika huku idadi ya waumini ikiwa ndogo tofauti na ilivyozoeleka.
Licha ya uchache huo wa waumini pia baadhi ya viongozi...
Mungu wetu alishatuumba, akawakabidhi wazazi wako wakamilishe mchakato uliobakia wa kukuzaa, kukulisha, kukuvalisha na kukutunza kwa muda fulani kabla na wewe hujaanza kujitunza na kuzaa watoto wengine. Kama ni sadaka mpe mzazi wako anaeweza kuitumia hiyo sadaka sio Mungu, kwakuwa Mungu hana...
Huwa najiuliza maana siku hizi huko kwenye redio na mikutano ya kikristo msisitizo mkubwa ni sadaka. Ingekuwa sadaka hizi haziwanufaishi hawa wahubiri( wao husema mtolee Mungu), wangekuwa kweli na bidii ya kutengeneza mafundisho haya (aghalabu mengi ni ya uongo na matisho tu) yenye msisitizo wa...
Hellow guys,
Mimi nataomba kujua kuna Mungu ambaye ana bariki kulingana na sadaka yako ulio toa yaani kama umetoa kanisani 1000 unabarikiwa kidogo lakini kama umetoa 7000 unabarikiwa zaidi ya yule alie toa kidogo
Kuna kanisa moja niliendaga ni maarufu sana hapa DSM nikasikia mchungaji anatoa...
Mimi sijazama sana kwenye biblia na neno la Mungu.
Nina jirani yangu hapa mdogo wake anaumwa masuala ya uzazi na vidonda vya tumbo. Ana hali ngumu sana kiafya na safari za Bugando haziishi. Pamoja na madaktari Dada jirani amekuwa na option ya kwenda mchungaji kuombewa na kukabidhi swala lake...
Hata kama ni tsh 50 sadaka inanguvu kuliko maneno.
Kutoa sadaka ni kitendo, maombezi ni maneno.
Imani bila matendo imekufa
Faida za kutoa sadaka.
1: Utapokea. Maana vya Mungu tunavipata Kwa kutoa.
2: Ulinzi Kwa familia hasa watoto. Ayubu alitolea watoto Sadaka. Hata walipokufa, Mungu alimpa...
Juzi Bi. mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa.
Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada.
Wakati tukiangalia kulikuwa ni kipindi cha sadaka, kilichonishanga ni hii sadaka ya kujimaliza yaani toa chote...
Habari!
Nilitaka kuandika kitabu muda kidogo chenye title inayosema "Kanisa la uzinzi" ila nimekosa muda kidogo, ila ipo siku nitaandika hichi kitabu ili angalau watu wachache wapone.
Kanisa la sasa limepatikana, silaha ya mwisho ya Ibilisi ambayo ni roho ya uzinzi inafanya kazi kwa kasi sana...
Habari!
Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu.
Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna...
Poleni sana marehemu watarajiwa mnaosoma hapa
Vizuri tukaelimisha makanisa ndugu zenu wasiteseke mnapotangulia.
Juzi tulikuwa msiba mmja kanisa moja kmr kumwaga mama yetu mmoja.
Watu walishiriki kwa kutoa sadaka baada ya sadaka mch anasema sadaka hizi tutaleta kwa mume wa marehemu akirudi...
Sadaka
Je, ni sawa kuwa wanufaika wa jasho na sadaka za wengi waliokuwepo kabla yetu ikiwa hatuko tayari kuwa wa manufaa kwa watakaokuwepo baada yetu? Asilimia kubwa ya tulio hai leo hii, hatukuhusika katika jitihada za kujishindia uhuru dhidi ya ukoloni, bali ni wanufaika wa jitihada hizo. Japo...
Mfumo wa kuhubiri Sokoni huku watu wanaendelea na shughuli zao siuungi mkono.
Ilitakiwa twende Sokoni kufanya Biashara kwa viwango vya juu ya kiroho ili tuwabadikishe wasioamini.
Injili ingekuwa rahisi Sana.
Ukisikia Paulo kaenda Sokoni au getini. Kumbuka alikuwa Ni mfanyabiashara pia...
NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU
Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia
Kwa yeyote mwenye mawasiliano na huyu mchungaji wa SDA naomba msaada habari hii imfikie pia naamini tupo wengi.
Habari za leo ndugu zangu katika imani?
leo naomba kujua uhalali wa watoto kutoa sadaka unakujaje.
mtoto ana chanzo gani cha kipato mpaka atoe sadaka?
Maana halisi ya sadaka ni nini hasa?
Mada yangu ni hio wazee
Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka ya shukurani.
Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya...
Wazazi katika shule ya msingi Baraa iliyopo katika halmashauri ya jiji la Arusha, wamekataa sadaka ya kuchinja, Mbuzi, Kondoo na Ng'ombe zipatazo 135 zilizotolewa msaada Kwa ajili ya kitoweo cha nyama Kwa wanafunzi wa shule hiyo, wakidai msaada huo unalenga kuwatoa kafara watoto wao.
Msaada huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.