sadaka

Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة‎, Urdu: صدقہ‎, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence", plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity". According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Mbunge Stephen Byabato awakutanisha Watoto yatima 200 Bukoba kwa Tamasha la Sadaka na Shukrani

    Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Manispaa ya Bukoba. Lengo kuu ni kuwapa faraja kwa kuwapa mahitaji muhimu ya shule, vyakula na mahitaji binafsi ikiwa ni...
  2. D

    Hili la Waislamu kuzunguka na visanduku au mifuko kuomba sadaka limekaaje?

    Mara kadhaa hukutana na Ma-ustaadhi wakiwa na visanduku au mifuko wakiomba Sadaka/Swadaka kwa ajili ya misikiti (Sio michango) Hapo Huwa najiuliza huu ni utaratibu mzuri kweli? Maana waumini wanafika au wanatakiwa kufika ibadani katika misikiti au makusanyiko ya kiibada, na hapo ndipo mahala...
  3. Stability

    Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
  4. Mganguzi

    Ningekuwa Padri au Kasisi wa dini yoyote nisingepokea sadaka za wanasiasa ni kulinajisi kanisa la Mungu

    Haya ni maoni yangu kwamba siasa ni ajira iliyotawaliwa na roho mbaya ushirikina na mauaji!! Kama isingekuwa siasa mawazo asingekufa ,Wala mwandishi wa chanel ten daudi mwangosi asingekufa! Isingekuwa siasa Leo Ben saa nane angekuwa anawasindikiza watoto wake shule asubuhi na kwenda kuwachukua...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Maombi ya Wazazi wako hayana mchango wowote katika mafanikio yako. Matendo yao Mema ndio sadaka kwa mafanikio yako

    MAOMBI YA WAZAZI WAKO HAYANA MCHANGO WOWOTE KATIKA MAFANIKIO YAKO. MATENDO YAO MEMA NDIO SADAKA KWA MAFANIKIO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hata waombe na kubinuka. Hata wafunge 40 kama Yesu. Hata wafunge Ramadhan na Shaban. Hata wagaregare na Kuvaa magunia. Ni Kazi bure tuu. Maombi...
  6. J

    Tofauti ya Matoleo na Sadaka na Utoaji Wake

    Tofauti ya Matoleo na Sadaka na Utoaji Wake Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu neno sadaka. Wapo wanaoita sadaka na wapo wanaotumia neno matoleo. Matoleo ni neno la ujumla, linalomaanisha aidha sadaka, au michango. Neno matoleo linatokana na neno kutoa. Hivyo chochote kile mtu anachokitoa...
  7. Mshana Jr

    Sadaka katika mtazamo wa kiroho

    Sadaka ni tenda la kiimani la kiroho .. Sadaka haitolewi kwenye nyumba za ibada tuu.. Hizi zenye imani juu ya Mungu moja na dini zake Sadaka pia hutolewa kwa miungu Sadaka pia hutolewa na wapagani Sadaka pia hutolewa kwenye vilinge vya mambo ya giza Sadaka pia hutolewa kwa masanamu Sadaka pia...
  8. R

    Makanisa ya kiroho yaanze mfumo wa kuhakiki sadaka na matumizi yake kudhibiti wahubiri matapeli

    Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
  9. sinza pazuri

    Anaefahamu Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa mwambieni Diamond Platnumz anamtafuta ampe sadaka yake

    Makosa tajiri mkubwa Iringa miaka hiyo akafirisika vibaya na kuwa mnywa visungura na mtogwa analewa 24 seven. Simulizi yake ukifika Iringa utaipata vizuri zaidi maana hakosekani maeneo ya starehe. Diamond Platnumz ameona simulizi yake mtandaon, imemgusa na ameamua kumshika mkono. Hivyo...
  10. Yoda

    Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
  11. O

    Ukistastaajabu ya mafuta na maji ya upako hapa bongo. Pasta Ng'ang'a atupa sadaka za waumini kisa ndogo

    Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada. Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok, mchungaji huyo alionekana akiiangalia kwa dharau sadaka hiyo. Wakenya walioshuhudia video hiyo...
  12. U

    Kuhani astahili pewa mkono, mashavu mawili na utumbo kwa kila sadaka ya ng' ombe inayoletwa madhabahu ya Bwana , tusiwaseme vibaya watumishi wa Bwana

    Wadau hamjamboni nyote? Hayo siyo maneno ni nukuu kutoka maandiko matakatifu Muache kuwasema vibaya watumishi wa Mungu Niombe tupigw hesabu kama ni Hela zinatolewa kama sadaka Kwa Kanuni hiyo hapo juu kuhani atastahili kupata asilimia ngapi ya sadaka Niwatakie sabato njema 1 Makuhani...
  13. nipo online

    Dhana ya mshahara wa kwanza kutolea sadaka ya malimbuko

    Unapokua katika msoto wa kutafuta kazi kiutaratibu wa matoleo unapaswa kuupeleka mshahara wote baada ya malipo yako ya kwanza kama malimbuko kanisani. Hii inakusaidia kukulinda kazini dhidi ya kutimuliwa kazi, afya, figisu, nk. Karibuni kwa wale wakuongeza nk. Hii ni kwa watu wote hata uwe nani.
  14. J

    Sababu za Kutoa Sadaka

    Sababu za Kutoa Sadaka Sadaka ni Nini Moja ya nguzo muhimu sana katika imani ya Kikristo ni sadaka, Sadaka ni nguzo muhimu sana, kwa sababu hata Kristo mwenyewe alifanyika sadaka kwa ajili yetu ili sisi tuokolewe. Kama Kristo asingejitoa nafsi yake kwa ajili yetu sisi, tusingekuwa popote...
  15. Waufukweni

    Aunt Sadaka: Mtoto akichora chora friji muache, anathubutu!

    Kumekucha wadau! Leo nikiwa namsikiliza Aunt Sadaka, Mwanasaikolojia na Mshauri wa masuala ya Malezi, Ndoa na Mahusiano kwenye redio, nikajikuta nakumbuka mambo ya utotoni na vile vipondo. Aliweza kuzungumza kwa kina kuhusu jinsi wazazi au walezi wanavyopaswa kuwaachia watoto wao nafasi ya...
  16. Gulio Tanzania

    Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka

    Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia wasiojiweza hichi ndio anachokitafuta ushawah kujiuliza kwanini Kuna watu kila wanachoanzisha kinafanikiwa...
  17. Pdidy

    Yaani sikuhizi mahubiri kila kutoa na majanga ya kutotoa sadaka..

    Mpaka rahaa wataelewa tu Nilikuwa naangalia star TV mahubjri ya kutoa nkaenda TV upendo kutoa Nkamua niende kanisani huko nakoo n kutoaaa Narudi hme sasa nasikiliza redio moja ya dini hukoo ndioo balaa wanatishiwa kabjsaa wasipotoa madhara yake..... Tusiache kutoa sadaka jaman wahubiri...
  18. Pdidy

    Haujakombolewa kwa vitu vinavyoharibika...umekombolewa kwa damu ya Yesu..hakuna sadaka ya ukombozi n ramli...

    Yajuaee maandiko yatajuweka huru Hata siku moja uongo auwezi kuuzidi ukweliui Tumekombokewa kwa Damu ya Yesu tu Hatujakombokewa na vitu vinavyoharibika Usidanganywe na sadaka ya ukombozi hioo n ramli Kaaa kwenye mafundisho ya kwelii ya kukusaidia kumjua Mungu unaemwamini n nani
  19. matunduizi

    Kwa watoa sadaka tu: Sadaka ya vitu Ina nguvu kubwa kuliko cash au sadaka za miamala

    Tendo la Kutoa sadaka limefungamanishwa katika Kila selihai ya mwanadamu bila kujali anamuamini au haamini Mungu. Watu wote hutoa sadaka. Tofauti ni mahali wanapotoa na Nia nyuma ya utoaji huo. Ukifuatilia historian ya utoaji sadaka sadaka inayozolewa moja kwa moja kama vitu au huduma...
  20. R

    Sadaka ya mbwa, yenye laana, iliyobeba uharibifu, HAIPOKELEWI ng'o!!

    Salaam, Shalom!!! Kuna wajinga wengi wanaodhani kuwa watumishi wa Mungu na Mungu mkuu kuwa Wana njaa na kudhani kuwa wapo Ili kukusanya sadaka Ili kujiongezea ukwasi, Usilolijua ni kuwa, SADAKA HUKATALIWA, Fuatana nami. 1. Nabii Elisha, anakataa vitofali sitini vya Dhahabu alivyoleta Naamani...
Back
Top Bottom