sadaka

Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة‎, Urdu: صدقہ‎, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence", plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity". According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".

View More On Wikipedia.org
  1. 5 Nyingi

    Ni halali kutoa sadaka kwa hela za kubet?

    Habari wakuu, katika harakati za kubet miaka kadhaa hatimaye leo nimevuna kiasi kikubwa, kwa mujibu wa imani yetu kubet ni haramu, je hii pesa naweza kutumia kutoa sadaka au nayo ni haramu niitafune yote?
  2. Boss la DP World

    Ukipata ofa ya namna hii nenda katoe sadaka kanisani. Ni marufuku kuitumia

    Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka. Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana. Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea...
  3. matunduizi

    Wanaoponda kutoa sadaka kwa watumishi wakumbuke kila mtu hutoa sadaka, tofauti ni unatoa wapi

    Kitendo cha kutoa sadaka kimefungamanishwa na uhai wa binadamu kiasi kwamba huwezi kuishi bila kutoa sadaka. Ukizuia kutoa ili uujenge ufalme wa Mungu utatafuta pa kuipeleka. Ila lazima utatoa hata kama utaitungia jina tofauti. Tendo la kwanza mwanadamu wa kwanza kuzaliwa (Kaini na Habiri)...
  4. matunduizi

    Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

    Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani. Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini. Hawa huwezi...
  5. matunduizi

    Jifunze kuilinda sadaka yako kama Abram alivyozilinda zake

    Mwanzo 15, Ibrahim alielekezwa na Mungu atoe sadaka ili apate kuhakikishiwa hatma ya maisha yake. Aliziandaa akazilinda hadi jioni tai na mbwa mwitu wasije wakazitafuna. Alifanikiwa hadi jioni mpaka zilipoleta matokeo. Watu wengi hawanufaiki na sadaka zao kwa sababu hawazilindi. Wanatoa kama...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Kwenye suala la sadaka natoa hongera kwa Waislam. Wametuacha mbali sana

    Hi! Mimi ni mkristo, tena ni kiongozi kanisani kwetu. Hili suala la sadaka liko wazi kabisa kimaandiko. Maandiko yameweka wazi tutoe vipi, tutoe wapi na muda gani. Ila baada ya Taasisi nyingi kuzaliwa kwa mgongo wa ukristo sasa misingi ya sadaka kibiblia imeharibiwa na mwanadamu anayetaka...
  7. GENTAMYCINE

    Ni kwanini tunaotoa Sadaka za Sarafu ( Coins ) Makanisani huwa tunaangaliwa kwa Jicho la Usununu ( Hasira ) na Waumini?

    Kwani Wewe umekuja Kanisani Kusali ( Kuabudu ) au Kumchunguza GENTAMYCINE anatoa Sadaka ipi na Kiasi gani? Tafadhali Benki Kuu ya Tanzania ( BOT ) kama ikiwapendeza rejesheni zile Noti za Tsh 500/= na mkiweza pia bunini na za Tsh 200/= kwani mtatufichia Aibu Sisi akina Choka Mbaya ambao wakati...
  8. R

    Askofu Gwajima anatofautishaje mapato ya sadaka na matumizi ya kufanya siasa?

    Nimeona Gwajima amekusanya vijana wa kumlinda na kushiriki naye kuzunguka jimbo la Kawe. Naamini hawa vijana wamepangisha nyumba, wanakula na pia wanayo matumizi mengine mengi. Kwa mantiki hiyo hawa vijana wanalipwa na mlipaji maana yake ni Pastor Gwajima. Lakini Gwajima chanzo chake cha...
  9. Exile

    Urafiki na madereva wa masafa marefu ukiwatumia hela 75% hesabu umetoa sadaka

    Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida. Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari. Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata...
  10. Mwande na Mndewa

    Watu wanasema Tundu Lissu hana shukrani!Je Shukrani ni kutoa sadaka bandari za Tanganyika kwa Mwarabu?

    Shukrani kuangalia Wazanzibar wakitoa sadaka bandari za TANGANYIKA na miundombinu yake yote kwa wajomba zao DPW ??? Huku bandari zote nane za Zanzibar kule pemba na unguja zikiwa hazipo kwenye mkataba TATA kama kweli ni mzuri wema huo wa wazanzibar kwa Tanganyika umeanza lini ?? Yaani maendeleo...
  11. MENERIKI II

    Kuna ukweli wowote wa sadaka kupelekwa Vatican?

    Habari wana JF kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Leo kuna rafiki yangu mmoja nimemsikia akisema kuwa kuna sadaka wanazo changia kanisani (Kanisa Katoliki) zinaenda Vatikani. (Yeye ni mkatoliki) Hili kwangu ndio kwanza nalisikia kwa huyu rafiki yangu, sikutaka kumbishia kwakua mimi sio...
  12. Tajiri Tanzanite

    Mwamposa apelekewa sadaka na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hapo vip! Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, jana ameshiriki ibada kwa Mtume Mwamposa. Nimemsikia akisema Rais amempa sadaka ampelekea Mwamposa, akamkabidhi bahasha mtumishi wa Mungu, akaongea ongea hapo vitu ambavyo havieleweki. Mwamposa nakushauri hiyo pesa itakase nahisi itakuwa ni mgawo...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Sitoi sadaka katika mazingira haya

    Hello! Mimi ni wa Kristo yaani ni mkristo au kwa jina jingine ni muumini wa Yesu. Sitoi na sitatoa sadaka ●Kwa namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti. ●Sitoi sadaka kwa kutuma kwenye acount ya bank yenye jina...
  14. Greatest Of All Time

    Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  15. Nyuki Mdogo

    KAHAMA: Wezi waiba sadaka msikitini, waacha msiba kwa familia ya mlinzi

    Watu wasiojulikana wamemchinja mlinzi aliyekuwa akilinda katika msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama kisha kuiba sadaka na kuharibu vitu vya thamani vilivyokuwa kwenye msikiti huo na kutokomea kusikojulikana. Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye...
  16. Mwachiluwi

    Mwanamke amejitoa sadaka kisa mumewe apate kazi

    Hellow Hii story ya kweli kabisa imetokea ivi karibuni Kulikuwa na mdada aitwaye Tupokigwe ambaye alikuwa na mchumba wake aitwaye Chacha walipenda sana. Tupokigwe alikuwa ni mwajiliwa wa sekta binafsi alikuwa ni afisa biashara wa kampuni, ila Chacha alikuwa hana kazi jobless Tupokigwe aliona...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Mungu hahitaji Zaka na Sadaka yako, Sadaka na Zaka ni Malipo ya Watumishi wa dini

    MUNGU HAHITAJI ZAKA NA SADAKA YAKO, SADAKA NA ZAKA NI MALIPO YA WATUMISHI WA DINI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani "Mtolee Mungu" " Hiyo ni sadaka Kwa Mungu wako" " Unamnyima Mpaka Mungu anayekupa uhai" Na kauli zingine kama hizo, ni Utapeli mtupu. Kuna Ile unaambiwa" mtolee Mungu ili...
  18. KING MIDAS

    Je, naweza kubarikiwa kwa kutoa sadaka kubwa kubwa kanisani?

    Nimekulia kwenye familia ya KKIKRISTO made hebu ya Kilutheli, na Sunday School na Kipaimara nilikuwa mwanafunzi bora kabisa nikiwa nimekariri vifungu vingi sana vya Biblia. Baada ya kuhitimu kidato cha sita, nilipata daraja la tatu, nikaona niingie mazima kwenye biashara maana hamna tena namna...
  19. system hacker

    Nywele ndefu zinazovaliwa na wanawake weusi zilitolewa sadaka kwa miungu huko nchini India

    Kazi kwenu warembo wetu. https://indianhair.net/blogs/journal/real-indian-temple-hair-all-you-want-to-know
  20. Chikenpox

    Kwanini waamini wanazidi kukonda na wachungaji wananenepeana tu halafu hawatoagi sadaka wakati wana pesa mpaka?

    Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao. Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini...
Back
Top Bottom