Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7, mimi nilikuwa wa 6.
Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha nikafanye swali la hesabu. Nikafanya swali kwa mbwembwe, nilikuwa nasumbuliwa na mafua, kabla...