safari za sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ONGEZEKO LA SAFARI ZA SGR KUANZIA SEPTEMBA 01, 2026!

    Tumeongeza idadi ya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ili kukupa urahisi zaidi wa kupanga Safari zako kila siku. Sasa una fursa ya kuchagua muda unaokufaa, kagua ratiba kuona muda wa kuondoka na kuwasili wa treni zetu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Safari za SGR siku za weekends. Watu wanachoka sana wakitoka Dsm

    Uzi na Mr Attorney Fanya uchunguzi wa Train za kuja Dar Ijumaa na Jumamosi. Utagundua Manzi za Dodoma huwa wanafuraha saana, snapchat, instagram na Tiktok kwa wingi… Ila Train za Jumapili kurudi DOM huwa ni kisanga sana. Huwa mamanzi wanalala tu, wamechookaa hatariii… wapo hoooii bin Taaban...
  3. JamiiForums Tanzania TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

    Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu! Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa siku mbili mbele. Hivyo kama una safari ya ghafla kwenda au kutoka Dodoma huwezi kutumia treni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…