Safari za SGR siku za weekends. Watu wanachoka sana wakitoka Dsm

Safari za SGR siku za weekends. Watu wanachoka sana wakitoka Dsm

Mwangazza

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
34,153
Reaction score
51,777
Uzi na Mr Attorney

Fanya uchunguzi wa Train za kuja Dar Ijumaa na Jumamosi.

Utagundua Manzi za Dodoma huwa wanafuraha saana, snapchat, instagram na Tiktok kwa wingi…

Ila Train za Jumapili kurudi DOM huwa ni kisanga sana.

Huwa mamanzi wanalala tu, wamechookaa hatariii… wapo hoooii bin Taaban.

Ile Wanapanda Train tu hata haijafika Pugu tayari wanakoroma utafkiri basi bovu la mwendokasi…

Hivi unahisi Dar huwa wanakuja kufanya nini?
 
Wanakuja kuangalia familia zao, ndoa zao. Mtu kacheza na watoto, kafanya usafi huko room, kamfilia mumewe ataacha kuchoka.
Hasira za kuacha mji wake familia roho inamuma hapo anaona bora alale asije kulia mbele za watu.
 
Kwani wamelazimishwa kurudi Dodoma.

Wabaki Dsm tu wapige mishe nyingine za hela.
 
Back
Top Bottom