Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Ongezeko kwenda wapi,ama kuiwahi Oct?Tumeongeza idadi ya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ili kukupa urahisi zaidi wa kupanga Safari zako kila siku.
Sasa una fursa ya kuchagua muda unaokufaa, kagua ratiba kuona muda wa kuondoka na kuwasili wa treni zetu.View attachment 3659966View attachment 3659969