Kumekuwa na huu msemo wa CHAWA kwa muda mrefu sasa. Mdudu chawa ni mdudu anayeishi kwa kunyonya dam za viumbe hai hasa binadam.
Kwa tuliozaliwa miaka ile tuliishi nao sana hawa kwenye mashuka, chupi, nguo ama mablanketi yasiyofuliwa, na machafu, wanapenda sana pia kuoshi kweenye nywele chafu...