LEO nikisema dungadunga si salama
Mtu anaweza kusema, “Ah, wewe mpinzani tu.”
Lakini kama ningesema miaka kadhaa iliyopita kwamba,
“Jamani, itakuja dungadunga ambayo itakuwa si salama”
na nikataja mambo kadhaa yanayobainisha namna itakavyokuwa,
halafu miaka 10 baadaye hayo yakatokea, ukisema...