Naomba kujua Faida na hasara (hasa Kijamii na Kiustawi) za Sherehe ambazo zinajulikana katika Kalenda na zile zinazotegemea Kuandama (Kuchomoza) kwa Mwezi Congo, Kigoma, Mombasa, Tanga, Zanzibar na Mtwara.
Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika.
Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea legacy yake na kujifananisha na Spika Marehamu Samwel Sitta, Ndugai anaumia na kukwazika sana kwanini...
Kuna hiki kitu kinaonekana cha kawaida na kimezoeleka na mtu sio rahisi kutokukifanya au kuki avoid. Lakini ukijaribu kukifikiria sana (deep thought) unagundua kuwa ni kitu cha ajabu sana na ukienda mbali sana kufikiria unaweza ona huwa unafanya 'utoto' lakini ndio hivyo kinatokea beyond our...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paulo Makonda ameibuka upya kwa kusema kuwa sio lazima apate uteuzi bali anaweza hata kuwa Kiongozi wa Familia.
“Mimi ni mkulima, ni mfanyabiashara pia kwa hiyo ninaweza kuwa na mchango mkubwa sana hata kwenye kampuni ninazoweza kufanya kazi...
Ni vizuri wakuu turudi kwenye defaults za binadamu katika ubora wake.
Kwa nini anasema hivi, kuwa mnazi wa kikabila unaweza kujikuta umechakachuliwa akili vibaya sana na ukadhani huo ndio ubinadamu kumbe ni UJINGA.
Mfano:
1: Nimekaa na jamaa Wawili kutoka sehemu tofauti Mbeya. Hawaja jamaa...
Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia.
Malisa GJ
Mosi, Huu uchungu anaouonesha Ndugai sio wa Halima na wenzake kupigwa, ni uchungu wa kupoteza yale matrilioni ya wafadhili. Ameshaona dalili zote kwamba hata akiwalinda akina Mzee Halima na wenzake waendelee kuwa wabunge...
Saikolojia inatuambia kwamba;
Maamuzi sahihi ya mwanamke huwa yapo ndani ya dakika 90 tu za mwanzo!
Ikipita dakika 90 katika jambo moja lilelile tarajia maamuzi hasi kutoka kwake kuwa ndiyo maamuzi sahihi.
Na maamuzi hayo hasi yaliyo inje ya dakika tisini ndiyo huwa adhimio la ubongo wa...
Habari!
Ukichukua matukio machache yaliyofanywa na hawa vijana wa SUMA JKT GUARD utagundua kuna kitu hakiko sawa. Kuna upepo umepunguza akili zao.
Majuzi Jangwani walimpiga yule jamaa wa African sports na kupelekea kifo chake, tena tunapokea taarifa kuwa wamemuua mwananchi asiye na hatia...
"Kiuumbaji na hata Kisaikolojia tu Mwanaume ni Mtu ambaye anakuwa amebeba mambo mengi Kichwani na Akilini mwake tena mazito mazito na makubwa makubwa kuliko Mwanamke. Hivyo basi moja ya Tiba ya haraka ili kumuepusha akae vyema Kifikra na Kuhimili mambo anatakiwa ajitahidi kila Wiki awe analia...
"Huna hakikisho la kuwa hapo kwa miaka mitano"
"Acha kudhani kuwa ni mwenye bahati kuliko wengine"
"Hata Mkeo nae ajiandae Kisaikolojia kama usipodumu hapo"
"Nilipokuwa naapishwa alinitumia Meseji ya Pongezi na wala sikumjibu ili asije kudhani kuwa bado atakuwa Waziri Mkuu"
"Umesema Mkeo...
"GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi...
Tunavyokula kuna athiri jinsi tunavyojisikia. Inatakiwa unapokula uwe unajisikia vizuri. Kuna wengine wakila wanajisikia tofauti. Ukila sana au kidogo vyote vinaweza kukufanya kusikia vibaya , hata kuleta madhara katika mwili.
Kuna vitu vingi sana vinaweza kuathiri ulaji wetu. Aidha inaweza...
Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia.
Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya kabisa kuusikia au wengi waliousikia lakini hawakuweza ingia kujifunza kuelewa Bipolar ndio ukoje...
Habari wadau,
Mimi mwanayanga. Ila namkubali mo kwa uwekezaji wa Simba.
Natazama sana mashindano ya CAF Champions League kila msimu. Mimi ni die hard African football fan boy. Natazama CAF Champions League kuliko UEFA.
Mashindano ya CAF ni magumu sana na yana tofaut sana na UEFA, maana ni...
Hasira ni nguvu hasi inayomjaa mtu na kama sifa ya nguvu/nishati nyingine lazima itafute kitu cha kupokea;
Mtu akiwa nayo automatically inahamia kwenye maeneo fulani fulani ya mwili:
• Mwingine huenda mikononi anapiga kila kilicho mbele yake hasa cha thamani, hapa akiwepo aliyemkasirisha...
SAIKOLOJIA: KUPAMBANA KUSHINDANA CHUKI
Katika somo la leo najaribu kuangazia Saikolojia ya kuhusu chuki ambao katika Ulimwengu wa leo uliotaharuki kwa visasi na ukatili kutokana na tatizo hilo.
Lakini kuhusu chuki si kwamba tu imekuwepo katika ulimwengu huu tu ni jambo ambalo limekuwepo kwa...
Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili.)
Baada ya kujifunza somo hili kuhusu wasiwasi sugu (Anxiety Disorder) katika sehemu ya kwanza basi leo tumalizie sehemu ya pili ya muendelezo wake na sehemu ya Mwisho.
Katika sehemu ya kwanza tuliangalia
Tafsiri ya Anxiety...
Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder).
Imenisukuma wakati huu kuandika kwa ajili ya makala hii kuhusiana na somo la Hofu au uoga kupitiliza na wasiwasi kutokana tatizo hili limekuwa halisikiki lakini lipo kila itwapo leo katika jamii zetu na wapo wengi baadhu yetu...
Hili lipo wazi kabisa sasa hivi taifa letu wananchi wake wana hofu kubwa kwenye mioyo yao. Hofu juu ya ugonjwa wa Covid -19. Hasa baada ya kuwa na vifo vingi sana ndani ya siku nne zilizopita. Na hii sio imetokea hapa Tanzania tu hata nchi zilizoendelea kama Uk na Usa watu wana hofu.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.