sajo

The Sajó (Hungarian pronunciation: [ˈʃɒjoː] SHOH-yoe, Hungarian) or Slaná (Slovak) is a river in Slovakia and Hungary.
Its length is 229 km, of which 110 km is in Slovakia. Its source is in the Stolica Mountains range of the Slovak Ore Mountains. It flows through the Slovak town Rožňava and the Hungarian city Miskolc. In Hungary it flows through the county of Borsod-Abaúj-Zemplén. It flows into the River Tisza near Tiszaújváros. Its main tributaries are the Bodva and the Hornád.
Also known for Battle of the Sajó River from 11 April 1241 between the Mongol Empire and the Kingdom of Hungary.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, kwa nini madereva wengi huingiwa na hofu wanapoona askari wa usalama barabarani?

    Jibu ambalo utalisikia mara nyingi si kwamba wanachukia sheria, bali wanahisi wanaweza kubambikiwa makosa au kutozwa faini hata pale wanapoamini hawajakosea. Badala ya askari kuonekana kama walinzi wa usalama, kwa baadhi ya madereva wamekuwa ishara ya usumbufu na hofu kila wanapoanza safari...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Series ipi uliyoitazama haikufika mwisho na unaona ilikatishwa kimakosa?

    Kila mmoja wetu ana ile series yake (TV Show) ambayo ilimfanya aingie kwenye "addiction" kuifuatilia. Ile ambayo unajikuta unafuta hata ratiba zako za muhimu ili tu upate muda wa kutazama episode nyingine. Lakini, kuna maumivu ya aina yake pale story inapozidi kunoga, ghafla unakuta kituo cha...
  3. JamiiForums Tanzania TBC Taifa (Radio na Televisheni) na magazeti ya serikali kuonesha kwa usawa habari za vyama vyote vya siasa

    Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali pangisheni yaliyokuwa majengo ya Wizara na Taasisi mbalimbali DSM vijana tupate ofisi na ninyi mpate kodi

    Ni zaidi ya miaka 5 sasa toka Rais JPM alipoagiza Wizara zote za Serikali kuhamia jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi. Agizo la rais ni sheria, hibyo lilitekelezwa kwa ukamilifu na sasa Wizara karibu zote zimehamia Dodoma ambapo zina majengo katika mji wa serikali Mtumba. Kwa miaka yote...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) kujigeuza Mahakama wanafanya uonevu mkubwa kwa madereva

    Ukiwauliza madereva, kama wangependa askari wa usalama barabarani wawepo au wasiwepo barabarani, utashangaa pale robo tatu ya idadi ya madereva uliowahoji watakapokujibu kuwa wangependa barabarani kusiwe na askari wa usalama barabarani. Ukiwauliza sababu ya wao kupenda hivyo watakwambia kwa...
  6. JamiiForums Tanzania TARURA na Mbunge wa Kibamba, barabara ya Kibamba-Hondogo-Kidimu ni mbovu sana. Tutengenezeeni

    Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Tazama namna Mahakama na Serikali zinavyoshirikiana kuminya haki ya Mtumishi wa Umma kusuluhishwa migogoro ya kazi

    Tarehe 28 Machi 2022, Mahakama ya Rufani Tanzania (CAT) kupitia hukumu ya kesi ya Rufaa ya TANZANIA POSTS CORPORATION dhidi ya DOMINIC A. KALANGI (Rufaa ya Madai Na. 12 ya 2022) [2022] inapatikana hapa https://tanzlii.org/tz/judgment/court-appeal-tanzania/2022/154 iliamua kuwa Tume ya...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Unajua kuwa kutikisa makalio kwa lengo la kumtega mtu ni unyanyasaji wa kingono? Jifunze hapa juu ya unyanyasaji wa kingono

    UNYANYASAJI WA KINGONO NA RUSHWA YA NGONO Kumekuwa na tabia isiyopendeza katika jamii hususani mahali pa kazi ambapo baadhi ya waajiri au mameneja wa waajiri wamekuwa na tabia ya kuwanyanyasa kingono na kuwaomba rushwa ya ngono wafanyakazi walio chini yao au watu wasio wafanyakazi wanaoomba...
  9. JamiiForums Tanzania Operation Kataa Ndoa - SAWA, vipi kuhusu child support, nayo utakataa? Jifunze hapa kuhusu malezi na matunzo ya Mtoto (Sheria ya Mtoto) ujipange!!

    Operation imepamba moto, vijana wanahimizana kukataa ndoa kwa kutokuoa ila hakuna anayepinga kuhusu suala la kujaza ulimwengu. Mizagamuano na misuguano inaleta sio tu raha na burudani kwa wafanyaji bali pia inaleta watoto kwenye dunia. Wakishakuja sasa wapenzi wanaanza kukimbiana na wengine...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini mtoane Roho kwa mali alizoacha baba? Ijue Sheria ya MIRATHI, WOSIA na Usimamizi wa mali zitokanazo na Mirathi

    Binadamu wote ni lazima tupitie kifo ikiwa ndio mwisho wa maisha yetu hapa duniani. Wakati wa uhai mtu unaweza kumiliki mali zinazohamishika na zisizohamishika mahali tofauti tofauti ndani au nje ya nchi ya Tanzania. Kuondoka kwako duniani kwa njia ya kifo hakufanyi mali zako zipotee kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Usidanganywe na stori za vijiweni, ijue Sheria ya Ndoa na Talaka

    NDOA NA MATOKEO YA NDOA (TALAKA, UGONI) Mambo ya ndoa sio mageni sana masikioni mwetu kwani wengine tupo ndoani na wengine marafiki zetu wapo ndoani na hata wazazi wetu wamekuwa ndoani. Kwa hiyo baadhi yetu ni matokeo ya ndoa za wazazi wetu na wengine tumepata matokeo ya ndoa zetu wenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…