salamu

As-salamu alaykum (Arabic: ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ‎, as-salāmu ʿalaykum, [as.sa.laː.mu ʕa.laj.kum]) is a greeting in Arabic that means "Peace be upon you". The salam is a religious salutation among Muslims when greeting, though it is also used by Arabic speakers of other religions, such as Arab Christians, as well as by Muslims generally. In colloquial speech, often only the first part of the phrase (i.e. Salām, "peace") is used to greet a person. The typical response to the greeting is wa ʿalaykumu s-salām (وَعَلَيْكُمُ ٱلسَّلَامُ, [wa.ʕa.laj.ku.mu‿s.sa.laː.mu]), "And peace be upon you, too." The complete phrase is as-salāmu ʿalaykum wa-raḥmatu -llāhi wa-barakātuhū (ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ ٱللَّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ, [as.sa.laː.mu ʕa.laj.kum wa.raħ.ma.tu‿ɫ.ɫaː.hi wa.ba.ra.kaː.tu.huː]), "Peace be upon you, as well as the mercy of God and his blessings."
This greeting appears in abbreviated forms in many languages as some variant of salām (سَلَام, cf. Persian [sæ.lɒːm]). Among Christians, during Mass, the priest and the congregation often use the salutation, "peace be with you."

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Salamu kutoka US: Kidogo nivunje kiuno kwa mchezo huu wa vijana

    Habari zeni wa-TAMISEMI, Katika harakati zangu huku kwa Biden nikakutana na vijana wanacheza mchezo wa hiki kidude. Nikaona mtu mweusi hashindwi kitu. Nikaomba na mimi niwaoneshe jinsi wabantu tunafanya. Hawakuwa na hiyana, wakanipa hicho kidude, nikataka kufanya hizo flips kama wao. Ya kwanza...
  2. Frank Wanjiru

    Hashimu Ibwe awatumia salamu Simba

    Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe ametuma salamu kwa wapinzani wao Simba SC kwa kusema "Simba jishikilieni tunakuja na balaa tupu" timu hizo zitakutana Septemba 26, 2024. “Sisi sasa hivi hatujifichi kwenye migongo ya mtu hivyo niwahakikishie kuwa hizo goli nne zinaendelea hivyo mjipange...
  3. M

    Salamu Kwenu Diaspora

    Ni ukweli usio fichika asilimia kubwa kama 90% ya diaspora wanaishi kwa kufanya kazi ambazo ni Unskilled Labour. Wengi wao maisha ni ya kawaida tena ya kuwa busy sana japo wanapenda kupiga picha maeneo mazuri na kuonesha kwamba ndio maisha yao halisi. Aidha diaspora wana mchango mkubwa hapa...
  4. P

    Salamu kutoka Marekani: Nimejiona mnyonge kuona wadau wanavyotambulisha wapenzi wao

    Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho. Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane"...
  5. P

    Salamu Kutoka Marekani: Nimeuliza kitabu/filamu inayoweza kumfanya mtu aijue Tanzania

    Well! Well! Well! Well!, Mshamba kutoka Tanzania mikoa ya ndani ndani anayewakilisha taifa huku kwa Biden Marekani, nilipata kukutana na washika dau kadhaa. Mimi nimekuja kishamba zaidi ili kuonesha natokea wapi. Basi huwa naeleza kwa kujiamini tu kwamba mimi ni Mtanzania. Nawapiga mikwara na...
  6. P

    Salamu kutoka Marekani: Ndulele/Ndulandula/Tulatula ni biashara nzuri

    Mbali na uwepo wa supermarkets(Stores) nyingi huku Marekani, pia yako masoko ya wakulima au wanaita Farmers Market, at least kwa hapa nilipo sijui majimbo mengine kama kuna farmers markets. Masoko yako mengi ambayo hufanyika mara moja kwa wiki. Lakini kwa kuwa yako tofauti unaweza ukainjoi tu...
  7. P

    Salamu kutoka Marekani: Nimeinjoi disco la kimya kimya

    Hili suala la mimi kuwa Marekani mvumilie tu. Nimetoka mbali kama nilivyoeleza uzi uliotangulia. Basi bwana leo mzee wenu nikaambiwa kuna disco la kimyakimya sehemu(Silent disco). Nikasema ngoja nikaone linakuwaje. Nikaenda mzee wenu, kweli kufika pale naambiwa nijisajili kisha nikapewa...
  8. L

    ACT Wazalendo mfikishieni salamu Ismail Jussa kuhusu umuhimu wa kodi

    Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi. Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
  9. Andazi

    Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

    Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado...
  10. J

    Rais wa FIFA amlilia Hayatou atuma salamu za rambirambi

    Rais wa Shirikisho la Kimataifa ya Soka (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kutokana na kifo cha aliyekuwa Rais wa shirikiho hilo la Afrika, Issa Hayatou. Hayatou alifariki dunia jana Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77, huku akikumbukwa...
  11. Pang Fung Mi

    Salamu za kheri kwa January Makamba na Nape Nnauye

    Shalom, Ndugu zangu January Makamba na Nape Nnauye kwa niaba yangu mimi na wenzangu wengine na wanachama wa CCM, sisi baadhi yetu bado tunawapenda na tuna imani kubwa nanyi na mioyo yetu bado iko na Nuru juu yenu, siasa ni sawa na mchezo wa basketball substitutions ni muda wotewote na hata...
  12. L

    Rais Samia Atuma Salamu Nzito za Pongezi kwa Rais wa Afrika kusini kwa kuchaguliwa kwake Awamu ya pili.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo. Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
  13. mkalamo

    Waziri Mkuu Modi awashukuru viongozi wa dunia kwa salamu za pongezi wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake

    New Delhi [India], Juni 2024 Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo. Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
  14. Pdidy

    Kwanini watu mjini wakipewa shikamo wanaitika 'salama za kwako'?

    Habari zenu wakuu hapa kati na kakazi hapa posta nafanya Yaani unakutana na kabinti kazuri kanakusalimia shikamoo Wale wazee wanajibu salama za kwako, hivi mmelogwa Mi kijana naitikia marahaba we unakataa shikamoo unataka nini tena? Hizo tabia muache wengine tuna watoto wa kike mtatuogopesha...
  15. GENTAMYCINE

    Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

    Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale...
  16. Ojuolegbha

    Salamu za Pongezi kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) mpya

    Salamu za Pongezi
  17. BabaMorgan

    Mbona wengi wanapenda kutuma salamu recently?

    Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic. Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
  18. Comrade Ally Maftah

    Salamu za pongezi kwa Ally Happy

    Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA. Nachukua nafasi hii kumpongeza Ndugu yangu/ kaka yangu Ally Happy kwa kuaminiwa na Dr Samia Suluhu Hasan pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. kuwa Katibu wa Jumuiya ya wazazi taifa, Comrade Ally Maftah nikiwa kama Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa...
  19. EricMan

    Eid Mubarak to all Muslims

    Nawatakia Waislamu wote Eid njema yenye furaha na Upendo
  20. Erythrocyte

    Freeman Mbowe atuma Salamu za Pasaka kwa Watanzania wote , awaomba kusherehekea kwa amani

    Ujumbe wake alioutuma kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii huu hapa
Back
Top Bottom