Rais wa Shirikisho la Kimataifa ya Soka (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kutokana na kifo cha aliyekuwa Rais wa shirikiho hilo la Afrika, Issa Hayatou.
Hayatou alifariki dunia jana Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77, huku akikumbukwa...