WAKUU.
Mimi ni shabiki mi ndaki ndaki wa Simba sports club, na pia ni MTAALAM wa taaluma ya coaching.
Nimewafuata viongozi wa Simba inbox na ana kwa ana kuwashauri mambo ya msingi ya kuyafanya hasta KAMATI ya usajili.
1. Nilishauri kuwa Simba Haina kiungo wa UKABAJI CDM Viungo wengi waliopo...