salamu

As-salamu alaykum (Arabic: ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ‎, as-salāmu ʿalaykum, [as.sa.laː.mu ʕa.laj.kum]) is a greeting in Arabic that means "Peace be upon you". The salam is a religious salutation among Muslims when greeting, though it is also used by Arabic speakers of other religions, such as Arab Christians, as well as by Muslims generally. In colloquial speech, often only the first part of the phrase (i.e. Salām, "peace") is used to greet a person. The typical response to the greeting is wa ʿalaykumu s-salām (وَعَلَيْكُمُ ٱلسَّلَامُ, [wa.ʕa.laj.ku.mu‿s.sa.laː.mu]), "And peace be upon you, too." The complete phrase is as-salāmu ʿalaykum wa-raḥmatu -llāhi wa-barakātuhū (ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ ٱللَّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ, [as.sa.laː.mu ʕa.laj.kum wa.raħ.ma.tu‿ɫ.ɫaː.hi wa.ba.ra.kaː.tu.huː]), "Peace be upon you, as well as the mercy of God and his blessings."
This greeting appears in abbreviated forms in many languages as some variant of salām (سَلَام, cf. Persian [sæ.lɒːm]). Among Christians, during Mass, the priest and the congregation often use the salutation, "peace be with you."

View More On Wikipedia.org
  1. Pang Fung Mi

    Ongezeko la watu ambao hawana tabia ya utu ya kusalimia au kuitikia salamu

    Hello!! Anaandika Wadiz a.k.a Baharia Moja ya sifa na upekee wa binadamu ni utashi wa kusalimiana na kuitikia salamu. Kumekuwapo ongezeko kubwa la ujeuri, dharau, kibri, vijana wa kiume, wa kike, baadhi yao wakubwa tu hawatoi salamu au kuitikia salamu iwe mnapishana njiani, akukute sehemu...
  2. Andazi

    Chukua MIC na utume Salamu

    Kuna viumbe vinatujua kuliko tunavyojijua hahha if u have no friend here, chukua muda kutengeneza mmoja, Nakama wewe ni Me usitengeneze urafiki na Ke kwani mda wote wanahic kuwa unataka kutongozana au mapenzi penzi NAKAMATA MIC NATUMA SALAMU KWA Gily soon na story nashuka nalo stay tuned...
  3. Chizi Maarifa

    Kwa lililompata Kimbu, Wake za watu kuanzia sasa sitaki hata salamu na ninyi

    Hata zawadi ya Mimba msije omba. Mke wa mtu si mtu. Mke wa mtu si sumu tu peke yake ni balaa. Kimbu ana hali mbaya. Mbaya sana jamaa yangu. Soma: Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama nitaweza kula
  4. TRA Tanzania

    Salamu za pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

  5. Jaji Mfawidhi

    Redio Tanzania: Salamu za wagonjwa

    "Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawapa pole*2" Ajuaye bwana Mungu kuwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole*2" Kiitikio; Kipindi chenu kinawapa pole wote tunawapa pole, Mungu awajalieni pole* Huo ni wimbo maarufu ambao ulikuwa ukifungua kipindi cha...
  6. Hemedy Jr Junior

    Malezi: Salamu kwa Serikali na Mashirika Binafsi

    Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana, lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu walitokea familia za aina gani? Utagundua familia hizo ni za walevi au baba...
  7. D

    CHADEMA mjiandae kuitikia salamu ya "CCM Oyeeee" kesho!

    Kweli Rais Samia ni Profesa wa siasa. CHADEMA inakufa hivi hivi. Ikumbukwe siasa ni Imani na ni Itikadi. Salamu katika siasa inabeba falsafa ya chama kama ilivyo salamu za dini. Huwezi kuingia msikitini ukasalimia "Bwana Asifiwe". Hiki kitatokea Moshi. Ni utaratibu wa kawaida Rais wa nchi...
  8. B

    Mjema atuma salamu zenye maelekezo manne kote nchini

    Na Bwanku M Bwanku. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema ameacha ujumbe wenye maelekezo manne wakati wa kuhitimisha ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo na Sekretarieti yake mkoani Singida. Mjema ameacha ujumbe huo kwenye mkutano mkubwa wa...
  9. L

    Kutuma salamu za pongezi kwa mkutano wa AU kwa miaka sita mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwa Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa sita mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo, na pia ni mara yake ya kwanza kutuma baada ya kuchaguliwa tena kuwa katibu mkuu wa Kamati Kuu ya...
  10. McCollum

    Salamu kutoka kwa Liam Wyatt

    Habari kwa wakongwe na wageni wa jukwaa hili (JF), baada ya kuzunguka huko duniani kwa miaka mingi leo nimeona rasmi niingie humu na kuwa mwanachama rasmi. Nawapongeza members wote ambao kupitia michango yao (replies) JF imekuwa kama reference ya vitu vingi vinavyotafutwa katika injini pekuzi...
  11. PAGAN

    Salamu za Mwaka Mpya kupitia Twitter

  12. Roving Journalist

    Salamu za Mwaka Mpya 2023 za Rais Samia kwa Watanzania

    Salamu za mwaka mpya 2023 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa watanzania wote. Amemshukuru Mungu mtukufu, mkarimu na mwingi wa rehema kwa kuiona siku ya leo tunapoaga mwaka 2022 sasa tunaingia mwaka mpya 2023, amewatakia watanzania wote mwaka wenye furaha na...
  13. L

    Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2023

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za mwaka mpya wa 2023 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni salamu hizo: Makomredi, marafiki, mabibi na mabwana: Hamjambo! Wakati mwaka 2023 umewadia, mimi nikiwa hapa Beijing...
  14. INSIDER MAN

    Communication officers wa Simba na Yanga wanastahili kuchapwa viboko

    Hivi hata message za msiba mpaka wakopi na kupaste hii ni aibu sana kwa taifa na wananchi. Hizi tim janja janja zimekua nyingi kama wanaajili watu hawajui ngeli ni aibu kwao.
  15. Poppy Hatonn

    Salamu za Uhuru kutoka kwa Mwalimu Nyerere

    Ndugu wananchi, Naona mwaka huu hamsheherekei Sikukuu ya Uhuru. Si kitu. Mradi tu mkumbuke kwamba mko huru. Kwa sababu mimi na Rashidi na Oscar na Derek na Jamal na Maswanya na wengine wengi tuliwaletea Uhuru, tuliwaongoza katika harakati za kudai Uhuru Kwa hiyo mjihadhari mtu yoyote...
  16. Watchaman255

    Umati uchaguzi wa CCM ni salamu za Tsunami 2024-2025

    UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA SUNAMI 2024-2025. Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama...
  17. Sildenafil Citrate

    Papa Francis atuma salamu za rambirambi kufuatia ajali ya Precision Air

    Katibu Mkuu wa Vatican, Kadinali Pietro Parolin, kwa niaba ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ametuma salamu za rambirambi kwa watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia ajali mbaya ya ndege ya Precision Air iliyosababisha watu 19 wapoteze uhai. Papa Francis ametoa...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Rais Kagame atuma Salamu za Rambirambi

    Serikali haistahili kupokea salamu za rambirambi kwa namna yeyote ile. Licha ya kukumbwa na majanga kama haya lakini serikali imejaa anasa tupu badala ya kufanya maandalizi ya vyombo vya uokozi. Samia akiwa makamu wa rais serikali iliiwaambia wana Kagera serikali haikuleta tetemeko. Haikutosha...
  19. Unique Flower

    Salamu zako Alasiri hii zimuendee nani?

    Mambo Zenyu. Mimi salamu zangu ziwaendee watu wote wa JF ambao wanajitambua. Je, salamu zako alasiri ziende kwa nani?
  20. GENTAMYCINE

    Ikitokea Baba yako ( Mshua ) Kaoa na Kazaa na Mwanamke unayemzidi Umri mkubwa ( Binti ) Salamu yako Kwake itakuwa ipi kati ya zifuatazo?

    1. Shikamoo Mama 2. Oya Binti Hujambo? 3. Niaje Wewe Mazeri? 4. Heshima yako 5. Za Kulala na Kuamka Maza 6. Uko poa? 7. Mzima Wewe? Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
Back
Top Bottom