Huyu msanii ni natural sana. Anaimba kama hataki ila akitoa wimbo unashika. Sasa kuna huu mpya kautoa nadhani unaitwa "Bia tamu". Bia tamu kweli.
Sasa nampa changamoto au remix au ajifanyie rendition na aje na "Ndoa tamu". Nakuhakikishia mdogo wangu utakamata hadi ushangae. Ila jambo moja...