salumu mwalimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Salumu Mwalimu: Nasikia sauti ya Mungu, Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu

    "Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu, ila naisikia sauti ya Mungu, ikiniambia nenda kawasaidie watanzania wenzako na hiyo ndio inanipa ujasiri." "Nchi hii imejaliwa kila aina ya neema, madini kila kona, bahari, mito na ardhi takatifu, nchi imejaliwa vivutio vya kila aina...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Nikiwa Rais, nitavaa kapelo, Tisheti na Jeans Mtaa kwa mtaa

    Mtiania urais wa Tanzania wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameendelea kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili kumwezesha kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025. Mwalimu ambaye pia ni...
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu amesema yeye kuwa Rais ni Kichekesho haiwezekani bado sana

    Kama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Historia kuandikwa Mbunge wa Kwanza Chauma atatoka Kizimkazi zanzibari Salumu Mwalimu

    Sijui naota au ni kweli? Nmeyapata kijiweni kwetu pale kizimkaZi Wana wanasema yupo mjomba angu atagombea na historia itaandikwa TU YAKUWA mbunge wa kwanza kutoka chama Cha Ubwabwa Tanzania atatokea kizimkazi. SALUMU MWALIMU ataje hata MJUMBE Mmoja wa nyumba kumi kutoka chama Cha democrasia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…