Namtafuta supplier wa samaki aina ya sangara na sato kutoka Mwanza, nahitaji kufahamu mambo haya kutoka kwake
1. Bei ya kilo moja kwa sato na sangara kwa jumla samaki wakiwa mwanza ili na mimi niwauze kwa jumla nikiwa Dar.
2. Namna watakavyozipack katika vifurushi na kuzigandisha kabla ya...
wakuu kama nilivyojiekeza hapo juu nauza samaki kutoka mwanza popote ulipo nakutumia Tanzania na nje ya Tanzania, bei maelewano nicheck kwa namba 0744420666 voda,0653842347 tigo,0625937918 halotel.