Kama picha inavyojieleza yenyewe, hao jamaa wanawaingiza vifaranga wa samaki bwawani, ila naona nyaya kama za umeme zimetoka kwenye switch zikaingia bwawani na kuna kichwa kikubwa tu sijui nawaza ni kwa ajili ya nini. Anayejua matumizi yake tafadhali tusaidiane maarifa. kwa kuhisi tu nikafikiria...
Global Fishing Watch shared workspace
Kutokea hio webusite ni live na inaonyesha meli au vyombo vya uvuvi vinavyovua,inaonyesha jama wanapenya mpaka karibu ya Mtwara na lindi na kukaribia visiwa vya Zanzibar kwa umbali wa kilomita kama 120. Je, walinzi wetu wanaweza kufika umbali huo kulinda...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend.
Kuna kamsemo kamoja huwa kanatamba sana huku mitaani...
Tunauza samaki wa maji chumvi
Pata samaki wa Maji Chumvi kwa kiwango utakacho toka kwetu
Kwa kilo tunauza 7500
Kama utachukua kuanzia kilo mia moja bei inapungua.
Wasiliana nasi kwa namba
0765758624
Wadau wa biashara ya samaki naombeni msaada wenu. Ninataka kuanzisha bucha la samaki lakini kuna mambo kadhaa sijapata taarifa zake kamili hivyo naombeni msaada wenu.
1. Ninaweza kuwapata wapi kwa jiji la Dodoma?
2. Ni vibali (nyaraka) gani natakiwa kuwa nazo kufungua bucha hili?
Ahsanteni...
Habari wadau
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama umdau au unatamani kupata mafunzo ya ufugaji samaki kuanzia kupima udongo .maji . Kuandaa bwawa .
Kuanzia vipimo na idadi ya samaki inayotakiwa kwa urefu x upana x kina . Kujua formula ya chakula .jinsi ya kuweka vifaranga .jinsi ya kujua...
Majina ya Samaki , Maelezo na Picha (SAMAKIPEDIA)
Blobfish
Blobfish ni samaki anayetajwa kwamba ni kiumbe mwenye sura mbaya na muonekano usio vutia kuliko kiumbe chochote.
Blobfish Ni samaki wa kawaida anayepatikana kwenye kina kirefu Sana cha bahari kati ya futi 2,000 hadi 4,000.
Presha...
Exocoetidae ni familia yenye aina 64 za samaki ambao wana mbaywa na wanaweza kupaa angani. Uppaji wao huwa unafanyika baharini ili akichoka anarudi kwenye maji
Samaki hawa wanaweza kupaa mita 6 juu ya uso wa bahari na huwa na mwendo kasi wa hadi kilometa 70 kwa saa, na anaweza kupaa hadi mita...
Wazungu wana mambo ya ajabu sana, wacha nikupe mkasa nilioshuhudia leo
Mida ya lunch leo kuna rafiki yangu kazini katutoa lunch rafiki zake twende hotelini kupiga msosi.
wakati tunapiga msosi maeneo ya wazi nyuma ya hoteli, tukawa tunamshangaa mzungu flani yupo na paka wa pale hotelini...
Wakuu kwa mtu yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara hii hasa samaki wa maji baridi huko Dodoma.
Soko lake vipi lina upinzani mkubwa?
Mimi niko Mbeya. Nawasilisha kwa salamu na shukrani kwenu!
WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJUA KUHUSU BIASHARA HII
MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA YA SAMAKI...
Inafaa kwa mabachela kama mimi nimejipikia haraka sana bila kuchelewa nikala nikashiba mchana ukapita.
Mahitaji.
Chumvi
Mafuta
Kitunguu kimoja
Samaki wa kukaanga.
Nyanya (idadi uipendayo)
Jinsi ya kupika.
1.Katakata nyanya na vitunguu sehemu tofauti
2.Injika sufuria weka mafuta kiasi yaache...
Kwa upande wangu napenda kula kichwa aise🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Ninaweza nisile ugali aloo🤪🤪..ninakisosomola ni kinouma🤸♀️🤸♀️🤸💃💃💃💃🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasa😅😅namaanisha samaki wa baharini kama yule aliem’meza Yona😅😅 👉🐠🐟🐠🐟🐠🐟
Akili za kuumwa na njaa hizi😅😅😅😅
Maisha...
Habari wadau wa JF,
Wamiliki wa Samaki samaki waja na brand nyingine ya migahawa yao inayojulikana kama KUKU KUKU,mainly chakula chake kitakuwa Kuku Choma,Kuku Mchemsho etc
Nawasilisha.
Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.