Shirika la Ndege la Kenya (KQ) limekadiria kupata Hasara ya Dola Milioni 100 katika Kipindi hiki cha janga la CORONA.
Kwa jinsi Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lilivyo na Ndege zake nyingi tu na zikibeba Sato na Sangara wakikaa Vitini nadhani Wamepata Faida.
========
Kenya Airways...
Wakazi wa Beijing wamerudi kwenye hali ya taharuki ya hapo awali janga la Corona lilipoibuka baada ya serikali yao kuweka sehemu za jiji lao kwenye total lockdown na kuwashurutisha maelfu ya watu kupimwa. Hii inafatia mkurupuko mpya wa COVID-19 ulioibuka kutoka kwa samaki aina ya 'Salmon' ndani...
UTANGULIZI
Ufugaji mseto wa samaki ni ufugaji ambao bwawa la samaki linakuwa ndani ya shamba pamoja na shughuli nyingine za shamba aidha hapo hapo shambani au katika eneo lililo mbali kidogo na shamba. Shughuli za shamba zinazoenda sambamba na ufugaji wa samaki ni pamoja na kilimo cha mazao...
Wakati John Pombe Magufuli alipokuwa Waziri wa uvuvi na mifugo alikuwa na utaratibu wa kutoa idadi ya samaki waliomo kwenye maji yanayozunguka nchi yetu na wanyama mbali mbali wa kufugwa. Ilikuwa ni kawaida kwenye Hotuba zake kutoa idadi ya wanyama na samaki mbali mbali ambao wamo nchini mwetu...
Hivi karibuni hii biashara ya kusafirisha minofu kutoka kanda ya ziwa kwa kutumia mashirika kama Rwanda Air na leo tena nimesikia Ethiopian airways imerudi kwa kasi na kimekuwa kama kitu cha kujivunia hadi waziri anaenda kushuhudia.
Wengi humu tunajua watoto wetu wamedumaa kwa zaidi ya asilimia...
Utangulizi
EM.1®️ ni teknolojia iliyogunduliwa nchini Japan miaka ya 80. Imesajiliwa Tanzania na Kampuni ya Feedpro EMAx Limited mwaka 2018. EM ni kifupisho cha Effective microorganisms ambao ni mfumo wa vijidudu hai, salama kwa binadamu. Hii teknolojia inatumika kwenye nchi zaidi ya 110...
Habarini za asubuhi wakuu.
Ni desturi iliyopo kwa baadhi ya makabila na hata wazazi kuwapa wanao majina ya asili ,naweza kuita majina ya kiukoo..
Wale wote wenye majina ya asili naomba mtupe pamoja na Maana ya Hilo jina uliloitwa au ulilompa mtoto wako..japo baadhi huwa yanaleta ukakasii...
Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa
Ni imara na haikati misumeno
Ina watts 550
Ina sehemu ya kusagia nyama
Ina warranty mwaka mmoja
Bei 1,350,000 tu
Tunapatikana kariakoo ndanda st
Tunadeliver free kwa dar pia.
Call/text/WhatsApp 0656666662.
Naitaji mtu ambae yuko Mwanza ambae anafanya biashara za samaki kwa maana ya uchuuzi na usafirishaji mpaka Dar es Salaam.
Au kwa yoyote ambae anajua A to Z ya kununua samaki mpaka usafiri to Dar es Salaam
Naibu waziri wa mifugo na uvuvi mh Ulega amesema ni marufuku kwa watendaji kufunga minada ya ng'ombe na samaki kwa kisingizio cha Corona.
Naibu waziri amesema hayo alipokutana na wafanyabiashara wa soko la ferry jijini Dar na amewataka kuzingatia masharti ya ugonjwa huo.
Source: ITV
Duniani yapo mengi ambayo yanavuta hisia ukiyasikia. Wengi wetu huamini kuwa umeme umekuwa ukizalishwa kutoka katika vyanzo mbalimbali kama mashine, betri, jua na maji.
Lakini amini au usiamini kuna viumbe ambao wanazalisha umeme mwingi wenye nguvu hata ya kuweza kumuua binadam mtu mzima ndani...
Muhammad Idul ameelezea vile samaki aina ya Ngarara alivyoruka kutoka majini na kumdunga kwenye shingo yake, na kulazimika kuogelea kwa hara kuelekea ufuoni kabla ya kukimbizwa hospitalini dakika 90 kwa gari.
Kijana huyo wa miaka 16 kuwa hai, na kuweza kusimulia yaliyompata imekuwa kama miujiza...
Uturuki yaingiza dola milioni 9.7 sawa na Tsh bilioni 22.3 katika biashara ya dagaa mwaka 2019. Mauzo ya nje ya dagaa kutoka nchini Uturuki yameongezeka kwa asilimia 1 ikilinganishwa na mwaka uliopita kwa kuuza tani 1996.
Mwaka 2019 tani takribani 1973 za dagaa zimeuzwa kutoka Uturuki na...
Wana JF
Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k.
Samaki ni chanzo cha lishe, kipato na ajira...
Karibu tukuhudumie masuala yote yahusuyo ufugaji samaki ,kuanzia Elimu ya ufugaji samaki, mbegu Bora ya vifaranga wa samaki na chakula Bora cha samaki.karibu shambani kwetu kongowe-kibaha . Pia waweza tufollow kwenye page yetu ya Instagram @ufugaji_samaki_kibiashara.
Habari wanajamvi nimerudi tena hustler mkomavu.
Mwanzoni mwa mwaka niliweka nadhiri ya kutembeza biashara kutokana na mtaji kuwa finyu nilianza na mtaji wa 42,000 kwa kuwa baadhi ya vifaa nilikuwa navyo, nilianza kuingia mitaani kuuza samaki kwa miezi miwili mfululizo nikaweza kuanzisha...
Serikali imesema itakodi ndege kupeleka matunda na mbogamboga nje ya nchi kutoka katika viwanja vya ndege vya Songwe na Mwanza, wakati huu ikijiandaa kununua ndege ya mizigo kwa kazi hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.