Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ametoa ripoti ya uchunguzi wa samaki walionekana wakizagaa katika fukwe za Hospitali ya Aga Khan na Ocean Road, akisema hawakufa kwa sumu.
Tukio la samaki kilogramu 164 kuonekana kuzagaa katika maeneo hayo lilitokea Julai 21 mwaka huu, ambapo Serikali...
Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona Askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho.
Prof Yunus Mgaya amesema chanjo ya Johnson & Johson inaweza kuwaathiri watu 4 tu...
Wandugu kwanini hao samaki wa baharini hawafiki huku mikoani. Huku sijawahi ona bucha linauza samaki wa baharini. Labda vibua kidogo. Ingekuwa poa sana na sisi tupate dagaa mchele tupige na ugali.
Mabucha yote ni sangara na sato. Kwani pweza na hao samaki wengine wa baharini hawakai kwenye...
1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k
_ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k
2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
Habari za uzima ndugu zangu wana JF.
Hii ni story ya ukweli kabisa, na ilinifunza kitu flani kwenye maisha.
Sasa sio mbaya kama tutajifunza wote kupitia story hii.
Katika jaribio la utafiti, nilimshika samaki kambale kwenye mto flani pale Kigoma, samaki huyo niliondoka naye nyumbani akiwa...
Wauzaji wa samaki wa maji chumvi aina zote na bei raisi tupo DAR kivukoni,tunakuletea mpaka ulipo lakini tunakusafirishia Kama upo nje ya DAR.
Call/SMS 0711756654 na WhatsApp 0719438200
01Jul 2021
WAANDISHI WETU
Dar es Salaam
Habari
Nipashe
Mtihani samaki wa Magufuli
WAKATI upande wa utetezi ukisubiri kutekelezwa kwa hukumu ya serikali kulipa fidia ya mabilioni ya shilingi kutokana na kukamata meli ya Tawariq 1 iliyokuwa na samaki mwaka 2009, maarufu Samaki wa Magufuli...
Kuna video moja fupi inazunguka mitandaoni anaonekana mbunge wa baraza la wawakilishi akiwaongelea kwa dharau samaki wa Ziwa Victoria. Anasema wao kwa maana ya watu wa visiwani hawana utamaduni wa kula samaki wa aina hiyo, kwamba isitokee mbegu zao zikawekwa kwenye bahari iliyo karibu na visiwa...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Kuna hii tabia ya watu wa mikoani ambapo hakuna ziwa Wala bahari Wana tabia ya kuagiza vitu utadhani vinakwenda kuokotwa tu
Unakuta mtu anakwamba ukirudi kutoka Mwanza naomba uniletee samaki na dagaa kwani wa uko ni watamu Sana
Pengine hata shilingi mia moja...
UKIMKUTA MAMBA NCHI KAVU NI KWA AJILI YA KUOTA JUA NA KUTAGA MAYAI LAKINI ASILI YA MAISHA YAKE NA MAWINDO NI MAJINI:
Ndugu Wana CCM na Watanzania,
Wahenga wa kale walisema, Sikio la kufa huwa halisikii dawa, ni swala la muda tu, na ukitaka kujua ugumu wa kuvunja ndoa ya wana ndoa walioishi...
Tunauza samaki aina ya sato kutokea Ziwa Victoria..
Usafiri kutoka Mwanza hadi Dar juu yetu.
Tunauza kwa bei ya jumla tu, kuanzia kilo 50.
Bei:
Bei kwa kilo moja ni Tsh 8,500/-
Malipo:
Utalipia mzigo ukifishakufikia ulipo.
Location:
Tunapatikana, Banana Dar esalaam.
Delivery:
Tunafanya...
Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu.
wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na...
Habari wakuu.
Naomba kwa mwenye ujuzi jinsi ya kufuga samaki niiyemtaja anipe mwongozo. Pia Kama Kuna mwenye vifaranga vyake tafadhali.
Natanguliza shukrani za dhati.
Rais wetu Mh. Samia Suluhu Hassan, ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo na siku njema huonekana asubuhi.
Wewe ni Rais wetu kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliyoapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea.
Kupitia hiyo Katiba sisi wananchi tuliamua rasmi na kwa dhati kujenga...
Samaki ni chakula bora kwa afya ya macho hasa wale wa maji baridi, kwani wamejaa asidi ya mafuta ya omega-3 ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuzuia macho angavu (kunyauka kwa macho), kudhoofu kwa misuli ya macho na hata mtoto wa jicho. Kama umeshindwa kula vyakula hivi vya baharini unaweza kula...
Ufugaji wa samaki kwa vizimba ni njia rahisi na yenye tija kwa wafugaji samaki kibiashara. Nitakuelezea hapa hatua na gharama zake na mambo mengine ya kuzingatia.
1.Vibali vya uendashaji wa shuguli za ukuzaji viumbe hai majini
I)Mhutasari wa kikao cha serikali ya kijiji au mtaa ambapo mradi...
Kwa wateja walio na mabucha mikoani na wenye supermarket ninauza samaki aina ya sato na sangara kutoka ziwa Victoria kuanzia kg. 100 nakuendelea ninakutumia popote ulipo usafiri juu yangu.
Sato kg. 1 @ tsh. 8000
Sangara kg. 1 @ tsh. 7000
Lakini pia napokea order kwa samaki aina ya kamongo na...
Anahitaji kufanya biashara ya samaki fresh kutoka Mwanza ziwa Victoria awasiliane na mimi nauza in bulk.
Pia wanaohitaji samaki kwa matumizi ya nyumbani karibuni tunauza ndoo kubwa na ndogo kwa bei poa.
Samaki wetu tunawasafirisha kwa ndege hivyo ukitoa oda na kulipia kesho yake unapata samaki...
Mwanangu ana umri wa miaka miwili kasoro!
Ana uchu wa samaki kinoma!
Lakini bahati mbaya kila akila samaki anajikuna na kutokwa vipere mwili mzima mithili ya kupitiwa na mdudu washawasha!
Je, nitumie mbinu au dawa gani ili mwanangu aendelee kula samaki bila shida hii ya kujikuna (allergy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.