Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana.
Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
Hapa ndipo walipohamishiwa Wafanyabiashara wa soko kuu la samaki kutoka eneo la manyema mbuyuni na kuletwa hapa maili sita.
Lengo na kuwahamisha wafanyabiashara hao na kuwaleta hapa ni kile kinachodaiwa kuwa ni katika kuiandaa moshi kuwa jiji na hivyo kuondoa mlundikano wa kuwa sehemu moja...
Tuweke mzigo mezani
Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma:
BARRICK NORTH MARA YAFUNGULIA MAJI YA SUMU NA KUTEKETEZA SAMAKI MTO MARA
Jitihada zimefanyika ili kujua...
Tanzania tuna eneo la mwambao wa bahari kutoka Kaskazini mpaka Kusini lenye urefu upatao 1084km, idadi ya vyombo vya uvuvi upande wa Bahari ya Hindi ni pungufu ya vilivyo ziwa Victoria.
Ripoti ya mwaka 2019 ilionyesha bidhaa za uvuvi Kutoka baharini zilizopelekwa nje ya nchi ilikuwa ni Tani 5...
Katika pita pita zangu nikakutana na taarifa ya kuwa watu wa nne wamefariki na wengine 40 kulazwa hospitalini baada ya Kula samaki Aina ya Kasa huko Tanzania visiwani ..
Na hii inakuja baada ya takriban mwez mmoja watu Saba kufa na wengine kadhaa kulazwa baada ya Kula samaki huyo huyo aitwaye...
Nimeikuta mahali hii
Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana.
Siasa sio sawa na kazi za Civil Society. In politics you deal with...
Habari za Leo wanafamilia?
Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram 200 - 400 kwa samaki mmoja. Tunapokea oda za watu wa majumbani na wa biashara.
Tunapatikana Mnazi...
Samahani wakuu nani anafaham viwanda vya samaki mwanza huwa mara nyingi vinanunua samaki kilo kwa bei gani?
Ukitokea mtu una labda tani tano za sato au sangara
"Njoo unisaidie kazi fulani, la sivyo hatutakula jioni hii." Nilimfuata. Aliingia ndani ya kibanda chake akatoka na ndoo yenye maji. Aliingia nayo mwenye zizi la mijusi akayamwaga hayo maji juu ya jiwe moja pana lililokuwa limebonyea kidogo katikati. Mijusi walikimbia haraka kunywa maji. Wakati...
Nimepewa wazo la biashara ya Samaki wabichi. Unachukua samaki wabichi aina kadhaa kutoka kwa wavuvi Bagamoyo kwa vipimo vya ndoo unaepeleka moja kwa moja kwenye maduka ya samaki Kariakoo. Jamaa anasema inalipa vizuri ila hana uzoefu.
Naomba mwenye uzoefu au anaefanya biashara hii anipe A B C...
Mamilioni ya watu duniani hutegemea samaki na mazao yatokanayo na samaki kwa chakula chao na uchumi wao.
Kuna zaidi ya jamii 30,000 za aina tofauti ya samaki huko baharini na kwenye maji ya mito, maziwa mabwawa nk wakicheza na kukimbizana kwa mawindo na kujilinda.
Kunanaina za samaki...
Samaki kwa jina Jellyfish Turritopsis dohrnii hana ubongo na moyo na anadhaniwa kuwa kiumbe pekee asiyeweza kufa duniani; ainaishi katika maji ya kitropiki.
Kama wanasayansi walivyothibitisha, jellyfish hawafi kwa uzee kwani huishi hadi umri fulani kisha wanaanza kuwa wadogo na kurudi kwenye...
Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?
Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum.
Juzi Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa...
Salamu za asubuhi, hiki kiumbe nimekuta kimefukiwa nyumbani kwangu sehemu ya kuingilia kibarazani bado sijaelewa ni kiumbe gani. Msaada kwa ambae amewahi kukutana na kitu Kama hiki. Ukiangalia kwa umakini utaona mkia Kama wa samaki, kichwa Kama binadamu na mikono kabisa.
1) Samaki hupata huzuni/msongo wa mawazo (depression) kama apatavyo binadamu
2) Kuna Samaki wanaishi zaidi ya miaka 70 ila yupo aliyeishi miaka 112 anaitwa Bigmouth buffalo
3) Kibaolojia kuna makundi (species) 30,000 ya samaki yanayotambulika
4) Kihistoria Samaki ameanza kuwepo duniani miaka...
Box Jelly fish (Sea wasp), ni samaki anaepatikana baharini,hasa katika bahari ya Pacific (Indo-Pacific) pia katika bahari ya Atlantic.Hupatikana kwa wingi katika nchi za Australia,New Zealand,Philippenes na mji wa Hawaii ulioko USA.
Samaki huyu hujulikana kama 'the most deadliest fish in the...
Inasemekana hawa samaki wanazaliana kama nyuki, unaweza ukawaweka 10 tu kwenye bwawa, baada ya mwaka ukawakuta wapo milioni 10. Je, hii haiwezi kutumika kutumika kutokomeza utapiamlo wa protini Tanzania?
Video ina maelezo ya ziada juu ya Asian Carp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.