Wanamuziki wa bongo fleva wanaounda kundi la muziki la Samia Kings ambao ni Chege, Madee na Ay, wakitoa burudani katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na wananchi ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi...

Wasaniii wa Bongofleva Madee, AY na Chege (Samia Kings) wameshiriki kwenye shangwe za mapokezi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Mkata Mkoani Tanga ambako anaanza ziara ya kikazi leo.
Soma Pia:
Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025
Wasanii Ay, Madee na Chege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.