PreGE2025 Uchawa umekuwa mtamu mpaka A.Y anasema wanaomkasirikia kwa sababu ya Samia Kings hawana utimamu wa akili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakujifunza kwa master J mwaka 2020. Master J alijitoa ufahamu, akajiingiza kwenye siasa za kiCCM, akanyoa na rasta zake ili kujibrand kisiasa, akavalishwa manguo ya kijani, akatua Rombo ili kuomba kugombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, sijui akaambulia kura 3 tu kati ya kura zote sijui 1000 Za wajumbe, CCM ikamchinjilia mbali. Akaamua kurejea kwenye muziki, akiwa amechoka na kuchokwa vibaya mnoo.
 
Mpaka aibu,ila mfumo wa elimu yetu ndo unatekeleza haya yote.

Ila tumeumbwa kusahau.

Japo,mda ni mwalimu mzuri.
Kuna caple ya kisiasa Msingida na Mkulia.
Naiman watafanya mabadiliko,chondechonde.
Clips zenu mzitunze,

Hakuna nyakati zilikuwa ngumu kama nyakati za JPM
 
Wakuu!

Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.

Njaa mbaya Sana, tawala, dhalimu, huchagua watu wenye ushawishi na kuwapa "asali"ili wakae mbali na wananchi!
Kwa nchi kama Uganda, wabunge hawawezi kupinga utawala wa Museveni, maana wanapewa ulaji, waangalie pembeni kuhusu maumivu ya wananchi,
Viongozi wa vyombo vya dola, wape ulaji, majaji wape ulaji, then hata wale wa chini hakikisha na wao wanawaminya wananchi ili wapate ulaji wao, lakini wasiwaminye Sana mpaka makelele yakawa mengi!
Siku zote samia atawasifia polisi,maana wanajua madudu anayowafsnya, na, wao amewaruhusu wafinye raia kidogo, wakifinya Sana, wanatolewa kafara
 
Wakuu!

Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.

Nani hataki v8 ya bure, bima unatibiwa popote duniani, ulinzi, pesa nje nje? Tunalaumu tu kwa sababu tuko mbali na hizi fursa. 😃😃😃😃
 
Kuna wakati nawaelewa sana hawa Watu mashuhuri wanao onyesha kuunga juhudi na kuwa MACHAWA.

Hii nchi sio nchi ya haki ni nchi ambayo ili ufikie malengo yako na uishi kwa amani ni either uwe CCM au usijulikane kabisa.

Lakini kama ni PUBLIC FIGURE na haupo CCM ishi kama kina ROSTAM wiki TZ miezi Mbele..

Hii nchi Usiposifia watawala na ukawa mtu Famous Kibiashara/Sanaa,nk hutoboi.

Utaenda lakini utafika mahali utagota, Tusiwahukumu hawa watu wana pambania KESHO zao,

Wana familia,wake,watoto,ndugu na jamaa wanaowategemea, hata wao wanaona namna Watu wanavyotekwa na kupotezwa,wanaona na hawatamani na wao yawakute.

Hawana Kauli au Sauti za kusema kitu lakini kama shida ni kuwa CHAWA tu why not,let them BE.

TAIFA hili likiwa la haki bila kuoneana tukawa wananchi HURU huu uchawa utaondoka na utaisha.

Binafsi ni Mfanyabiashara na nina KADI yangu kabisa ya kijani lakini sio kwa kupenda kuna mambo tunafanya ili tu BIASHARA ZETU ziendee vikwazo viwe vichache.

Unafki BEI gani kwani? Nijifanye namuiga LISSU anaejulikana hadi na TRUMP mimi nijitie mwana harakati nitekwe nikatolewe pumbu...

Ah weee Naunga Juhudi ila ukweli ninao Moyoni, kwasasa tunatafuta ZONE ambayo tutaishi kwa amani na uhakika wa usalama wetu,familia,biashara zetu,nk.

Hamuelewi maswaibu wanayokutana nayo Wafanyabiashara na watu maarufu wasio CCM hamuelewi ndio mana AY anaonekana kazingua.

Trust ME Ambwene moyo wake haupo ata CCM and so many of us we are doing this FOR our SAFETY.

WE ARE IN TANZANIA... muige Lissu yakukute
 
AY &FA ,AY anamsupport mwanaye ww waliopitia msoto tangu enzi za East coast team
 
Kaka umezungumza ukweli mchungu hakuna kitu kinaumiza moyo kama kua mfuasi wa kitu ambacho haukipendi!!!
 
Back
Top Bottom