Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Issue za Hawa wasanii kujiingiza huko ni mpango wa mwana FA kuona ni namna Gani anaweza kula nao keki ya taifa.
Huyu dogo ana nyege za kcachwa na mke wake.Wakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Chizi kaishiwa mistari huyu, hana la kufanya kwa sasa anaganga njaa tu.Wakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Ni urongooHakujifunza kwa master J mwaka 2020. Master J alijitoa ufahamu, akajiingiza kwenye siasa za kiCCM, akanyoa na rasta zake ili kujibrand kisiasa, akavalishwa manguo ya kijani, akatua Rombo ili kuomba kugombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, sijui akaambulia kura 3 tu kati ya kura zote sijui 1000 Za wajumbe, CCM ikamchinjilia mbali. Akaamua kurejea kwenye muziki, akiwa amechoka na kuchokwa vibaya mnoo.
Mjinga ni yeye aliyeachwa na mkewe🤣😂Wakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Huyu mwamba anakula bangi?Huyu mziki wenyewe umemshinda,anajua kuvuta bangi tu
Sana tuHuyu mwamba anakula bangi?
Imenifanya niwafikirie upya wale wasanii nilikuoa nawaheshimu. Yaan dah sio poaAY unatufanya wazee wenzio tuone aibu, kama umeingia kwenye siasa fanya siasa sio uchawa.
Me namuonaga Jamaa msatarabuSana tu
Kawaida ya wavuta bangiMe namuonaga Jamaa msatarabu
Mwana FA ndo kampika huyo kuwa hivyo alivyokuwa soon na yeye ataandaliwa ubungeWakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Na A.Y amekwambia atagombea wapi ,usiwe na kisebengo weweHakujifunza kwa master J mwaka 2020. Master J alijitoa ufahamu, akajiingiza kwenye siasa za kiCCM, akanyoa na rasta zake ili kujibrand kisiasa, akavalishwa manguo ya kijani, akatua Rombo ili kuomba kugombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, sijui akaambulia kura 3 tu kati ya kura zote sijui 1000 Za wajumbe, CCM ikamchinjilia mbali. Akaamua kurejea kwenye muziki, akiwa amechoka na kuchokwa vibaya mnoo.
Uchawa unalipa 😊
Mwambie mumeo awe chawa wa Lucas MwashambwaUchawa unalipa 😊