PreGE2025 Uchawa umekuwa mtamu mpaka A.Y anasema wanaomkasirikia kwa sababu ya Samia Kings hawana utimamu wa akili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna wakati nawaelewa sana hawa Watu mashuhuri wanao onyesha kuunga juhudi na kuwa MACHAWA.

Hii nchi sio nchi ya haki ni nchi ambayo ili ufikie malengo yako na uishi kwa amani ni either uwe CCM au usijulikane kabisa.

Lakini kama ni PUBLIC FIGURE na haupo CCM ishi kama kina ROSTAM wiki TZ miezi Mbele..

Hii nchi Usiposifia watawala na ukawa mtu Famous Kibiashara/Sanaa,nk hutoboi.

Utaenda lakini utafika mahali utagota, Tusiwahukumu hawa watu wana pambania KESHO zao,

Wana familia,wake,watoto,ndugu na jamaa wanaowategemea, hata wao wanaona namna Watu wanavyotekwa na kupotezwa,wanaona na hawatamani na wao yawakute.

Hawana Kauli au Sauti za kusema kitu lakini kama shida ni kuwa CHAWA tu why not,let them BE.

TAIFA hili likiwa la haki bila kuoneana tukawa wananchi HURU huu uchawa utaondoka na utaisha.

Binafsi ni Mfanyabiashara na nina KADI yangu kabisa ya kijani lakini sio kwa kupenda kuna mambo tunafanya ili tu BIASHARA ZETU ziendee vikwazo viwe vichache.

Unafki BEI gani kwani? Nijifanye namuiga LISSU anaejulikana hadi na TRUMP mimi nijitie mwana harakati nitekwe nikatolewe pumbu...

Ah weee Naunga Juhudi ila ukweli ninao Moyoni, kwasasa tunatafuta ZONE ambayo tutaishi kwa amani na uhakika wa usalama wetu,familia,biashara zetu,nk.

Hamuelewi maswaibu wanayokutana nayo Wafanyabiashara na watu maarufu wasio CCM hamuelewi ndio mana AY anaonekana kazingua.

Trust ME Ambwene moyo wake haupo ata CCM and so many of us we are doing this FOR our SAFETY.

WE ARE IN TANZANIA... muige Lissu yakukute
Umesema kweli, na kama hauwezi kabisa kuwa chawa basi ni bora ukae kimya ufanye mambo yako. Watanzania ni watu ambao hawastahili kupiganiwa.
 
Mshana Jr pitia hapa kidogo, huu ni ukweli ambao watu wengi wanakufa nao
 
"Sijawahi kuwaamini watu wanaonenepeana ovyo"
Jamaa mmoja hivi anapenda sana kutumia huu msemo.
 
Na alivyo mnene na unene wake wakuchusha anaoneka kama chizi flani hivi 😀😀😀, muziki umemshinda nini!
 
Hakujifunza kwa master J mwaka 2020. Master J alijitoa ufahamu, akajiingiza kwenye siasa za kiCCM, akanyoa na rasta zake ili kujibrand kisiasa, akavalishwa manguo ya kijani, akatua Rombo ili kuomba kugombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, sijui akaambulia kura 3 tu kati ya kura zote sijui 1000 Za wajumbe, CCM ikamchinjilia mbali. Akaamua kurejea kwenye muziki, akiwa amechoka na kuchokwa vibaya mnoo.
Sio kwa waswahilo Swahili ubwabwa Tu unawatoa akili
 
Huyo nae kishaishiwa AY asemwe kwa lipi usawa huu?kwanza ni Mzee kuwa CCM halali yake kabisa asitke kutafuta kick baba we endelea na mambo yako Ya samia kings wala binafsi sioni madhara yoyote though huna mvuto wowote kwa jamii ya kitanzania pambania ugali baba we mwnyw nafsi inakusuta hapo ulipo Samia kings inatusaidia nini sisi hata tukuwaze?
 
Nadhani mnataka kumuonea tu huyo Jamaa.Haya mambo yanavyoenda nchi hii wakati mwingine ni kama ile hadithi ya kwenye Biblia,ambapo shetani alimpeleka Yesu mlimani na kumwambia "kuwa mfuasi wangu alafu haya mazuri yote unayoyaona kule yatakuwa chini yako".Sasa mjiulize ni wangapi kati yenu mtakataa?.Na hapo possibly kupewa shavu na Mwana.
 
Back
Top Bottom