Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.
Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.
Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza...
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, hivi karibuni amesikika akisema kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ndiye anayechangia kucheleweshwa kwa kesi yake ya uhaini kwa kuwasilisha mapingamizi mara kwa mara.
Akizungumza katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV Julai 20, 2026, Wasira pia...