samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Venus Star

    CCM kumchangia mil. 5.320,000/= Tundu Lissu ni dhahiri shairi kuwa CCM inaziishi 4R za Rais Samia Suluhu Hassan kwa vitendo

    Kalamu ya: Leah D. Mbeke Kutoka: CCM Makao Makuu Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa falsafa anaitwa Mwanafalsafa. Mwanafalsafa ni aina ya mtu wa fikra na mtafiti. Rais Samia Suluhu Hassan...
  2. Tlaatlaah

    Ni kwa kiasi gani Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutokomeza umasikini na kuinua hali bora za maisha ya Watanzani?

    kwa kiasi kibuwa Tanzania imepiga hatu za kimaendeleo chini ya serikika sikivu ya CCM ya awamu ya sita kwa kuinua vipato na hali bora sana za maisha ya waTanzania, kwa kuzingatia uhakika wa hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, watu na makazi yao, kazi na na biashara zao, Lakini pia...
  3. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasili uwanja wa Amahoro Nchini Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasili uwanja wa Amahoro Nchini Rwanda. Pia soma:Rais Samia kwenda Rwanda Agosti 11, 2024 kuhudhuria uapisho wa Rais Kagame
  4. Tlaatlaah

    Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  5. Ojuolegbha

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Kikao cha Maafisa Ugani na Wanaushirika, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Agosti 2024

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Kikao cha Maafisa Ugani na Wanaushirika, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Agosti 2024.
  6. H

    Pre GE2025 Rais Samia: Mnaotudai fidia kuweni na subira tumalize miradi ya maendeleo kwanza ndipo tuwalipe

    Nimekutana na Clip ya Mheshimiwa Rais ikielekeza watanzania kutii na kuacha miradi ya serikali ipite kwenye maeneo yao na ikishakamilika ndo wadai fidia. Nimejaribu kujiuliza hivi Rais amewaza nini kutoa agizo lile? Mradi umepita kwenye eneo langu, nyumbani kwangu nyumba inavunjwa mimi niondoke...
  7. kichongeochuma

    CCM acheni utaratibu wa kubeba wanafunzi kwenye mikutano kwa maelekezo wasivae nguo za shule. Mnamdanganya nani?

    Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapopita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani? Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za...
  8. Jaji Mfawidhi

    Rais Samia -"wanasiasa wajanja", Nyerere "wanasiasa wanyonyaji"-'kupe"

    Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe. Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli" Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona...
  9. Ojuolegbha

    Rais Samia awataka Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutumia maarifa waliyoyapata katika kazi zao kwa manufaa yao na nchi zao

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wahitimu wa Kozi ndefu ya mwaka 2023/2024 katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutumia maarifa waliyoyapata katika kazi zao kwa manufaa yao na nchi zao. Rais Dkt. Samia ametoa...
  10. K

    Panic ya Rais Samia inasabaishwa na nini?

    Rais Samia ameonesha panic ya hali ya juu hivi karibuni. Je ni sababu zipi hasa zimeleta hii hali 1. Je ni ushindani ndani ya chama 2. Je ni mikutano ya wapinzani ambayo imeweka wazi mikataba ya siri hasa kwa nchi za kiarabu. 3. Je ni hali ya ruhswa kuzidi nchini 4. Je ni matatizo ya pesa kwa...
  11. Tlaatlaah

    Ndani ya vyama vya siasa upinzani Tanzania gumzo na hoja kuu ndani ya vikao vyao ni Samia Suluhu Hassan tu 2025

    Wengi wao wako radhi, na wameridhia kuunga mkono jitihada za Dr. Samia Suluhu Hassan za sasa; na endapo pia ataamua kugombea ukuu wa nchi kwa ngwe nyingine ya pili, basi watamuunga mkono kwa 100%. Kuna wanachama wachache miongoni mwa vyama hivyo vya siasa vya upinzani, wanajaribu kuweka vikwazo...
  12. R

    Enhancing tax collection and dispute resolution for a stronger Tanzanian economy

    “A CALL TO ACTION FOR TAX DISPUTE RESOLUTION” President Samia Suluhu Hassan has been steadfast in her commitment to economic growth and stability for Tanzania. During a recent event in Zanzibar, where new government appointees were sworn in, she emphasized the importance of enhancing government...
  13. Pascal Mayalla

    Rais Samia ni mtaji na fursa ya haki kwa Watanzania. Kwanini wasaidizi wake wasiutumie mtaji huu na fursa hii ya haki, badala yake wanamletea batili?

    Wanabodi, Hii ni Mwananchi ya leo Naendelea na zile makala zangu za KMT, (Kwa Maslahi ya Taifa) za uelimishaji umma kuhusu katiba, sheria na haki, leo nikiendelea na ile mada ya wiki iliyopita ya jinsi haki ya Mtanzania kumchagua kiongozi anayemtaka na haki ya Mtanzania kuchaguliwa kuwa...
  14. F

    “Hata mkipigia kura vyama vingine CCM ndio itaunda serikali”-Mh. Samia Suluhu Hassan (Kampeni za uchaguzi mkuu 2020). Tutegemee nini kwa alosema Nape?

    Kama Mh. Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka hadharani kuwa hata watanzania wakipigia kura vyama vya upinzani CCM ndio itaunda serikali, watanzania tutegemee nini katika chaguzi zijazo? Na katika maneno ya Nape ambayo yamekuwa summarized katika yale aliyosema Samia katika uchaguzi wa 2020, je...
  15. MIMI BABA YENU

    Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  16. D

    Rais Samia Suluhu Hassan mfukuze kazi Waziri Mwigulu Nchemba kuepuka wananchi kukufukuza wewe kazi 2025

    Ukweli mchungu kwa Rais Samia, Serikali na chama-tawala CCM ni kwamba wananchi wamechoshwa mno na janga la ufisadi uliobadilika na kuwa utamaduni wa watendaji wa Serikali ya CCM. Kitendo cha afisa wa umma TRA kukutwa na pesa taslimu nyumbani kwake 7bilioni ni ishara mbaya sana. Huyu ni...
  17. Bulelaa

    Pre GE2025 Rais Samia hawezi kushinda 2025, hawatathubutu kumpa kadi kugombea Urais

    Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya. Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata huko kwenu, mnajivunga kuonyesha mpo pamoja na mama ilihali mko mbali naye kwa hatua milioni. Tangu...
  18. FaizaFoxy

    Rais wa kwanza wa Tanzania mwenye asili ya Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan

    Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu. Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar. Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi...
  19. chiembe

    Samia Suluhu Hassan, Amiri Jeshi Mkuu pekee tangu uhuru aliyetoa amri mabasi yatembee usiku kucha, na hakuna anayethubutu kuyateka

    Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini...
  20. Tlaatlaah

    Rais Samia ni lulu ya amani, upendo na umoja wa kitaifa

    Ni Nuru, Faraja na Tumaini la ndoto za Watanzania wengi. Ni kichocheo cha mshikamano na maelewano ya waTanzania bila kujali mirengo ya kisiasa, kanda atokayo, rangi, dini au kabila. Ni kielelezo cha thamani cha Taifa, nembo, alama na nguzo ya amani na umoja wa kitaifa katika sura ya kimataifa...
Back
Top Bottom