samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. benzemah

    Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa illyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:- Mhe. Dkt. Selemani Said Jafo (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa...
  2. Ojuolegbha

    Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichokutana Jijini Dar es Salaam leo...
  3. L

    Rais Samia anaweza kutoa mhadhara Chuo kikuu cha Havard au Yale Marekani na dunia nzima ikasimama

    Ndugu zangu Watanzania, Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University nayo ikiwa katika nafasi za juu vilevile, ndipo katika kumi bora unaweza kuona sasa vyuo kama Oxford...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia ampokea Rais wa Guinea-Bissau, Ikulu ya Dar - Juni 22, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=Gr7yLxJrtRE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kumpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, leo Juni 22, 2024, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais Embaló ana ziara ya kikazi kwa siku mbili nchini, ikiwa ni...
  5. Analogia Malenga

    Rais Samia: Kuna mambo Samia hahusiki

    Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki. Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na...
  6. Pascal Mayalla

    Mlimani City: Kongamano la Maendeleo Sekta ya Habari Tanzania, Mgeni Rasmi ni Rais Samia Suluhu. Karibuni

    Wanabodi Karibuni katika tukio hili https://www.youtube.com/live/THx3Tn0wJUU?si=v7wHE2Hioo6C53DO Paskali
  7. U

    Rais Samia akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na wajukuu zake Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka. Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Maajabu ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Tanzania, amekabiliana na changamoto nyingi na kuboresha hali ya nchi kwa njia nyingi ambazo zimeleta...
  9. Mturutumbi255

    Mada Changamshi: Je, Rais Samia Suluhu Hassan Anatakiwa Kugombea Muhula Mmoja tu?

    Ndugu wananchi na wanachama wa vyama vyote vya siasa, leo tunakutana kujadili suala nyeti na lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Pombe Magufuli, kumekuwa na mijadala na mitazamo tofauti kuhusu...
  10. Kabende Msakila

    Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan anamheshimu Lissu, why Lissu hajiheshimu?

    Wapenda amani SALAÀM! Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:- Mbn Lissu anatukana sana? Mbn Lissu anadhihaki sana? Mbn Lissu anakera sana? Mbn Lissu anachokoza sana? Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje...
  11. Megalodon

    Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

    Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia. Samia aliingia kwa mbwembwe na vigelegele pamoja na...
  12. Ojuolegbha

    Muhtasari wa ziara rasmi ya Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa nchini Jamhuri ya Korea Kusini

    Muhtasari wa ziara rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa nchini Jamhuri ya Korea.
  13. BARD AI

    Bodaboda nao waomba kusafiri na Rais Samia kwenye ziara za nje ya nchi

    Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao. Maombi hayo yametolewa hivi karibuni katika kikao cha Baraza la Biashara la Mkoa wa Dar es Salaam ambapo bodaboda...
  14. Roving Journalist

    Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa, Korea, Juni 3, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu...
  15. M

    Pre GE2025 Rais Samia asilaumiwe kwa utendaji mbovu wa watumishi wa Serikali

    Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini mkubwa na kufanya tathmini ya hali ya utendaji wa kazi wa watumishi wa serikali katika mikoa ya Tabora, Arusha na Dar es salaam ambapo mitandao ya kijamii inaonyesha namna wakuu wa mikoa wanavyotekeleza majukumu yao ya usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 Mkoa wa Tanga Kura Zote Tutamchagua SAMIA SULUHU HASSAN

    MHE. KWAGILWA NHAMANILO: UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 MKOA WA TANGA KURA ZOTE TUTAMCHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN "Nitoe shukurani za pekee sana kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Handeni Mjini tumekuwa na mradi mkubwa mara ya mwisho mwaka 1974, miaka 50 imepita Handeni Mjini hatujuwahi kuwa na...
  18. tpaul

    Makonda: Siko tayari kumkatisha tamaa Rais Samia Suluhu kwa kunipa cheo cha RC

    Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia Profesa Kabudi akisema kuwa Magufuli ni Mungu wake nilidhani ni masikhara. Kumbe Rais akikuteua...
  19. Ojuolegbha

    Nukuu: Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano

    Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano. 25 Aprili, 2024. Dar es Salaam.
  20. Stephano Mgendanyi

    Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Apokea Zawadi ya Rais Samia Suluhu Hassan Kutoka UWT Katika Mdahalo wa Wanawake na Muungano

    Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) ameshiriki katika Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) leo tarehe 25 Aprili, 2024 Jijini Dar es Salaam Mhe. Wanu...
Back
Top Bottom