Watumishi wa umma hasa walimu wamekuwa na hali ngumu, wananchi walijiapiza kuwa ikiwa Samia atashinda uchaguzi huku wanajua kura hazijapigwa basi watadili na hawa watumishi wa umma walioshiriki kutia mikono yao damu
Kuna mwalimu namjua binafsi kutoka Kahama, ambaye baada ya kumaliza jioni...