GE2025 Hiki ndio kilifanywa na wasimamizi wa uchaguzi ili kupata 98% ya kura za Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
753
Reaction score
1,699
Kwenye vituo vingi watu hawakujitokeza kupiga kura kutokana na wananchi wengi kujiapiza kutoka kwaajili ya maandamano kupinga uchaguzi huo dhalimu. Kwenye sehemu ambako watu walijitokeza kwenye maeneo mengi walikuwa hawafiki 50.

Sasa kufika jioni ambako wasimamizi walikuwa wanafanya majumuisho ya kura kwenye vituo husika na kuwasilisha kile walichopokea kwenye vituo vyao, wasimamizi wakuu walitoa order ya karatasi zilibaki zote zijazwe.

Yaani kama ulikuwa na karatasi 40 unaambiwa zote utiki kwa Samuya na wabunge, madiwani wa CCM. Ukikataa kufanya hivyo unatishiwa maisha au hata kuharibiwa kazi yako, hivyo kwa hata hao wachache waliojuta kusimamia uchaguzi walishiriki udhalimu huyo na Samuya akatangazwa kushinda kwa asilimia hizo!

Ila unajua nini, hii haitapita hivi hivi, wananchi tutajibu haya yote yaliyofanyika. Samuya na genge lako mjue tu siku zenu zimeisha, Mungu asipoingilia tutamsaidia kuonesha njia kuhakikisha kila damu iliyomwagwa italipwa.

​

Ni uharamia na uhalifu mtupu.
 
Lete ukweli wako chawa😂🤣🤣🤣, unakataa na ushahidi upo mezani? Kenge maji kabisa!
Unadanganya watu halafu unasema nilete ukweli wangu kivipi? Mm nimesema ukweli ni kwamba hayo unayodai yalifanyika ni uongo. Acha upumbavu
 
Kuna Jamaa katoa ushuhuda, amesema kwenye kituo alichchokua anasimamia, mpaka saa nane mchana Wapiga kura walikuwa hawazidi 40, licha ya jitihada mbalimbali walizofanya wana Fisiem, ikiwemo kufuata Watu hadi Majumbani..

Baadae lilitoka agizo kwamba watiki hizo karatasi za kupigia kura ili kuongeza idadi ya kura.

#HAKUNA UCHAGUZI ULIOFANYIKA..
 
Bila huyu mwamba, % zingesoma 100

20251104_094954.jpg
 
Kwenye vituo vingi watu hawakujitokeza kupiga kura kutokana na wananchi wengi kujiapiza kutoka kwaajili ya maandamano kupinga uchaguzi huo dhalimu. Kwenye sehemu ambako watu walijitokeza kwenye maeneo mengi walikuwa hawafiki 50.

View attachment 3497190

Sasa kufika jioni ambako wasimamizi walikuwa wanafanya majumuisho ya kura kwenye vituo husika na kuwasilisha kile walichopokea kwenye vituo vyao, wasimamizi wakuu walitoa order ya karatasi zilibaki zote zijazwe.

View attachment 3497191

Yaani kama ulikuwa na karatasi 40 unaambiwa zote utiki kwa Samuya na wabunge, madiwani wa CCM. Ukikataa kufanya hivyo unatishiwa maisha au hata kuharibiwa kazi yako, hivyo kwa hata hao wachache waliojuta kusimamia uchaguzi walishiriki udhalimu huyo na Samuya akatangazwa kushinda kwa asilimia hizo!

Ila unajua nini, hii haitapita hivi hivi, wananchi tutajibu haya yote yaliyofanyika. Samuya na genge lako mjue tu siku zenu zimeisha, Mungu asipoingilia tutamsaidia kuonesha njia kuhakikisha kila damu iliyomwagwa italipwa.

​
View attachment 3497192
View attachment 3497194

​
Hii ilikuwa moja ya strategy, hata hivyo haikufanya kazi. Internet ilizimwa, fujo zilitokea na hata kura zenyewe hazikuhesabiwa. Walichofanya ni kupika kura tu. Yale matokeo alaiyo kuwa anayasoma yule mzee yalikuwa 100% ya kupika.
 
Kwenye vituo vingi watu hawakujitokeza kupiga kura kutokana na wananchi wengi kujiapiza kutoka kwaajili ya maandamano kupinga uchaguzi huo dhalimu. Kwenye sehemu ambako watu walijitokeza kwenye maeneo mengi walikuwa hawafiki 50.

View attachment 3497190

Sasa kufika jioni ambako wasimamizi walikuwa wanafanya majumuisho ya kura kwenye vituo husika na kuwasilisha kile walichopokea kwenye vituo vyao, wasimamizi wakuu walitoa order ya karatasi zilibaki zote zijazwe.

View attachment 3497191

Yaani kama ulikuwa na karatasi 40 unaambiwa zote utiki kwa Samuya na wabunge, madiwani wa CCM. Ukikataa kufanya hivyo unatishiwa maisha au hata kuharibiwa kazi yako, hivyo kwa hata hao wachache waliojuta kusimamia uchaguzi walishiriki udhalimu huyo na Samuya akatangazwa kushinda kwa asilimia hizo!

Ila unajua nini, hii haitapita hivi hivi, wananchi tutajibu haya yote yaliyofanyika. Samuya na genge lako mjue tu siku zenu zimeisha, Mungu asipoingilia tutamsaidia kuonesha njia kuhakikisha kila damu iliyomwagwa italipwa.

​
View attachment 3497192
View attachment 3497194

​
unachosema ni ukweli 99%
 
Back
Top Bottom