samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Samia Housing Scheme: Ndoto inatimia!

    🏑 SAMIA HOUSING SCHEME: NDOTO INATIMIA! πŸŽ‰ Kawe, Dar es Salaam inazidi kung'aa! πŸ”₯ Samia Housing Scheme, mradi wa makazi wa kisasa unaoleta mapinduzi ya ujenzi, sasa umefikia hatua kubwa – Uzio umekamilika, vyuma vya balcony vimesimikwa, na ujenzi umefikia asilimia 89! πŸš€πŸ—οΈ 🏠 Nyumba 560 za kisasa...
  2. Mungu anipe uzima nimuone Rais Samia akiomba kura kwa wananchi akizunguka Tanzania nzima.

    Bila shaka kila mzalendo wa taifa hili, na mfuatiaji wa siasa za Tanzania mwaka huu October atakuwa anahamu sana kumwona Samia akiwaomba kura watanzania. Mm binafsi namwaonea huruma sana samia sipati picha nzuri kwake ,kwa sababu a. mvuto na ushawishi wa kisiasa hana,achilia mbali makabila...
  3. Waziri WA MICHEZO anatakiwa awe amejiuuxulu kwa VITUKO vinavyoendelea pale tff..Mama Samia sema neno Moja tu roho yetu ipone

    Rwanda hawana tabia ya kuendekeza ujinga kama huuuu N KANCHI kadogo lakini hakajawahi kukoseankunfundisha adabu pale anapokosea Mpaka sasa nilitakiwa kuona MH WAZIRI WA MICHEZO akiwa amejiuuxulu na KUOMBA radhi kwa UPUUXI WA TFF na BODI take uliotokea Else anatakiwa awe ameshafyrka Ile BODI...
  4. Rais Samia usikubali kunasa kwenye mtego wa TFF

    Rais Samia wewe ni Rais wetu sote. Mara ya kwanza ulitukwaza wanayanga ulivomaliza suala la Feitoto katika kutoa maagizo. Na ukijua maagizo yako kama Rais hakuna raia wa nchi hii anaweza kuyapinga, Kwa heshima yako wanayanga tulikubali kulimaliza suala hili mezani japo tulishinda kwenye sheria...
  5. Matukio yanayonipa maswali baada ya kuona mkesha wa kumsubiri mama Samia kuzindua mradi wa maji Mwanga

    Leo nipo mwanga nimepita jirani na uwanja wa Msuya nimeona shamrashamra SIO za kawaida, mji mdogo lakini Leo kumekua Hadi na foleni, wageni Γ±aona NI wengi sana. Nachojiulza nimekutana na vibinti vidogo Sana Yani kama wanafunzi hivi wametolewa Wilaya za jirani Moshi na same kuja kwenye MKESHA...
  6. Arusha ilikua siku ya wanawake duniani au Siku ya Mhe.Raisi Samia Suluhu Hassan?

    Wasalaam Sifa nyingi kapewa mhe. Kahaidiwa na kupata kura nyingi Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo) Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake? Kama jibu ni la kwanza heko shughuli...
  7. Rais Samia asema bima ya afya kwa wote ni jambo zito si jambo jepesi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema mpango wa kuwa na bima ya afya kwa wote ni mzito na si mwepesi kutokana na umuhimu wake. Pia, kuhusu suala hilo amelishukuru Bunge kwa kulipitisha huku akisema kwa sasa limebaki upande wa Serikali kulifanyia kazi. "Jambo hili ni zito na sio jepesi...
  8. Rais samia: tumeondoa njaa kwa asilimia 100 kilichobaki ni mtu mmojammoja kuhakikisha halali njaa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa sasa Tanzania imeondoa njaa kwa asilimia 100, akifafanua kuwa kilichobaki ni kuondoa kwa mtu mmojammoja. Akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs) Rais Samia amesema nchi inajitosheleza chakula chake na zilizobaki ni...
  9. Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  10. Rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Mwaka wa ALAT Machi 11, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Mwaka wa Mamlaka ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) utakaofanyika Machi 11-12, 2025 jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa ALAT Taifa...
  11. Makonda amtafuta Gambo mbele ya Rais Samia, hajaonekana walipokaa wabunge wengine

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Makonda alimtaja...
  12. K

    Rais Samia Aleta Mapinduzi Katika Kupunguza Vifo Vya Wajawazito Tanzania, Afrika Yajifunza

    Tanzania inazidi kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na jitihada zake za kupunguza vifo vya wajawazito. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameweka kipaumbele katika kuboresha sekta ya afya, hatua ambayo imesababisha kupungua kwa vifo vya wajawazito...
  13. Rais Samia ashiriki mkutano wa SADC kujadili masuala ya kiusalama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ akishiriki Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya hiyo (SADC Organ) kwa njia ya mtandao...
  14. Pre GE2025 Picha: Mzee Mpili kwenye iftar na Rais Samia Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025. Soma: Rais Samia awafuturisha watoto yatima...
  15. Kitendo cha Waziri Simbachewene kuvaa picha ya Samia badala ya nembo ya taifa, sio ishara nzuri

    Jana nilipata wasaa wa kumuona Waziri Simbachawene katika shuguli za kiserikali. Katika kutupia macho dress code yake nibaini amepachika nembo katika suti yake. Kusogeza zaidi nikabaini haikuwa nembo ya taifa bali ni picha ya Samia. Wakuu tumefika huku? Sikumbuki kama tumewahi kufika huku...
  16. My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Kenya inaisifu Tanzania!

    Nimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa! Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia! Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi...
  17. K

    Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  18. Rais Samia ikukupendeza tuondolee DC Magoti hapa Kisarawe, amefeli kila kitu

    Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa . Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na...
  19. Pre GE2025 Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Machi 3, 2025 amefuturisha watoto yatima na watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu jijini Dar es Salaam. Pia, Rais Samia amepata fursa ya kuzungumza na watoto hao.
  20. Pre GE2025 Rais Samia na CCM yenu msifurahie kamwe ombwe hili la uchawa lililotamalaki, kama nchi tumepoteza pakubwa

    Kuna namna nchi yetu ipo jalalani tena pakubwa mno. Jana nilipoona mjadala kati ya Chadema na wahariri wa vyombo vya habari nikajikuta nakumbuka haya: 1. Hivi mara ya mwisho kuwa na mjadala wa aina hii ilikuwa lini? Ipo wapi mijadala ya Enzi za Ukumbi wa Nkurumah, enzi za kina Shivji kina Slaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…