Mwandishi wa habari wa BBC Swahili sammy awami amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizochangia Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutunukiwa Tuzo ya Sakharov ni mchango wake katika masuala yanayohusiana na hali inayoendelea katika Ukanda wa Gaza.
Ameeleza kuwa msimamo wa ICC kuhusu masuala...
Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ametoa kauli kali kuhusu mfumo wa utawala na mgawanyo wa madaraka, akisema kuna hatari ya mamlaka muhimu za dola kujikita mikononi mwa mtu mmoja.
Akizungumza na Mwandishi wa BBC Sammy Awami Mei 21, 2026, Masoud amehoji namna...