Habari za asubuhi Wanajamiiforums!
Kama mjuavyo, nchi yetu ina maadui wakuu watatu, ambao ni ujinga, umasikini, na maradhi.
Katika muktadha wangu, umasikini pamoja na maradhi vyote naviacha nyuma nikimfuatia huyu adui 'ujinga'.
Watanzania bado ni washamba wa watu werevu, watu smart...